Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Ukweli ni kwamba walikuwa hawafukiziki maana walitumia mbinu za kurekodi bila kufuata sheria ingekuwa wamefuata sheria au kama wangesema hadharani wangeshafukuzwa. Magu sio mvumilivu hivyo alikuwa hana namna.
Mwigamba mbona alifukuzwa chadema? Au umesahau?
 
Mbona ameshukia mbali na makaz ya Rais akaanza kutembea kwa miguu? Uku tunaonaga wageni wengine wanashushwa mbaka karibia na ngazi za kuingia ndani ikulu.
 
Sasa huyo Nape, Ngeleja na Makamba wameshindwa kusimamia walicho kuwa wana kiamini kwamba nchi inaendeshwa na 'one man show' na 'inner circles ' ni Bashite, Gambo, Sabaya, Hapi na huyo 'vuvuzela' Msiba

Unapoona hata wale waliokuwa wanaonekana ni 'sauti'inayotoka kwenye ukweli wanaleta mzaha jua kama Taifa tuna janga kubwa na ombwe kubwa la viongozi yaani sioni kama tuna safari ya kujikomboa na kuendana na mahitaji ya zama hizi kwa aina hii ya watu
 
Kuna kuomba msamaha na kuna kusamehe...
kitendo tu cha kuomba msamaha mbele ya TV ni kuzidi kudhalilishwa

mioyo ingekuwa ina vioo tungeona mengi ya ajabu...

mtu akikushikia bunduki lazima umuombe msamaha na wala sio lazima umaanishe
Nmeshangaa sana

Kulkua na nja nyingi ya kuonyesha kwamba yameisha

Hii ni cinema believe me
 
Juzi nilicomment kwenye Uzi flani nikawaambia Rais ana mamlaka makubwa na hilo liko wazi, wengi mliwananga akina ngeleja kuomba msamaha Leo nape kwenda wazi wazi, nawambia tena Rais ana mamlaka makubwa kumtukana na kumsengenya ni kosa kubwa sn
 
Mbona ameshukia mbali na makaz ya Rais akaanza kutembea kwa miguu? Uku tunaonaga wageni wengine wanashushwa mbaka karibia na ngazi za kuingia ndani ikulu.
Ni mipango Ya kumdhalilisha ilipangwa hivyo, na yeye alimtukana rais kwa sababu gani? Ngoja ale jeuri yake Leo tumemfanya futuhi na bado tutahakikisha kuwa hapati ubunge
 
Mbona ameshukia mbali na makaz ya Rais akaanza kutembea kwa miguu? Uku tunaonaga wageni wengine wanashushwa mbaka karibia na ngazi za kuingia ndani ikulu.
Boda boda siku hizi haziruhusiwi mjini
 
Sawa yeye kaogopa kuwafukuza, na wao pamoja na mizizi hiyo waliyonayo wameshindwa kujiondoa?

..unataka mtu kama Mzee Makamba aondoke na kumuachia chama Magufuli?

...Mzee Makamba ametumikia Tanu na Ccm ktk kila ngazi kuanzia shina mpaka Taifa.

..waliosema Jpm hajawahi kuwa hata mwenyekiti wa shina wa ccm walikuwa na maana yao.

..kwa kifupi Waraka wa Wazee ulikuwa na mbaya kwa Jpm kuliko kwa kina Kinana na Makamba.

..Kitendo cha kuwadukua kilikuwa ni UHALIFU na Mwenyekiti asingeweza kuwabana kwa kutumia taarifa zilizopatikana kwa njia za kuhalifu.

..Lakini pamoja na yote haya waTz wameweza kujua wakina Kinana na Makamba wana mtizamo gani kuhusu Jpm.

..Huku kuombana msamaha hakufuti mtizamo wao kuwa wanamuona Jpm kuwa ni mshamba na kwa hiyo hafai ktk kuongoza ccm.

..Na Jpm asingekuwa na nguvu za DOLA nyuma yake asingeombwa msamaha. Lakini huo ni mjadala wa siku nyingine.
 
Wakati BAVICHA mnamshabikia mwenzanu kwa kufanya ujinga dhidi ya rais wetu kipenzi,Yeye anatafuta namna ya kujikwamua kwenye ujinga wenu sasa Leo mmeumbuka wapinga maendeleo ya nchi yetu!Here job only
 
We umewaona ao ndo wana aki yakusamehewa, kwani kwenye mahakama zote nchin watuhumiwa ni mashee , wa zee wa escow peke yao wanaozea ndani?
Hatuwezi mpima Kwa machache pia uchaguzi u karibu.Tabia ya MTU Asili.
Akiwasamehe wazee wa escrow, mashehe wa uhamsho,mkwe wa Lowasa,na wote wanaooza ndani mwaka wa NNE sasa ni rahisi kuamini hivo.
 
Hatari sana ila mwendo wa Nape kuelekea kwa kamanda mkuu ulikuwa wa kizembe mno ......siku kanali Kinana Luteni Makamba na Jasusi Membe wanaenda kuomba msamaha JPM inabidi apige zake kitu cha kijeshi
 
Back
Top Bottom