Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Unajiumiza tu mwenyewe, yaani unahangaika na kigogo? Broo si ufanye mambo yako, hayo mambo waachie wenyewe, Pambana na Umasikini, Kigogo anaishi maisha mazuri sana tena usikute ni kama cutelove na baharia wa 7800
 
Wahenga walisema moyo wa mtu kichaka. Politic it's a dirt game.
Hili laweza kufanyika hivi lakini moyoni kila mtu kati yao analo lake jambo, either mtu anakwepa kusulubiwa au anaomba yaishe maisha yaende, ila kunaweza kukawa na timing maana adui huwa hataki ujue kuwa ni adui wako. Swali la kufikirisha: Je JIWE ASINGEDUKUA SAUTI HALI ILIKUWEJE HUKO MBELENI? KWA MAANA NYINGINE JIWE ASINGEJUA ANAVYOSEMWA, HAO NDIO WALIO DUKULIWA SAUTI NA JE, WENGINE AMBAO HAWAJAONGEA WANAYAPI MOYONI MWAO.
 
M
CCM ni Chama makini sana chini ya uongozi makini wa Mh. Rais wetu mpendwa, JPM..

Chadema haiwezi samehe mtu hata siku moja, ila CCM ni chama cha kujifunza kwa wengine.. Sisi tunaonyesha mfano wa uongozi bora ukoje.

Hongera Mh. Rais na hongera Nape, sasa ni kazi tu
Mkuu huo Ni uwongo mbona komu Na kubenea walisamehewa
 
Hili laweza kufanyika hivi lakini moyoni kila mtu kati yao analo lake jambo, either mtu anakwepa kusulubiwa au anaomba yaishe maisha yaende, ila kunaweza kukawa na timing maana adui huwa hataki ujue kuwa ni adui wako. Swali la kufikirisha: Je JIWE ASINGEDUKUA SAUTI HALI ILIKUWEJE HUKO MBELENI? KWA MAANA NYINGINE JIWE ASINGEJUA ANAVYOSEMWA, HAO NDIO WALIO DUKULIWA SAUTI NA JE, WENGINE AMBAO HAWAJAONGEA WANAYAPI MOYONI MWAO.
Ndugu mimi hao walioweka yao ya moyoni wazi, siwaoni kama wanampinga Magufuli wala hawamchukii hata chembe, ukweli ni walikuwa wakweli wake na washauri wazuri sana.

Lakini kuna wale wengi ambao wakiwa mbele yake ndio wenye sauti kubwa, na makofi ya nguvu ndio hatari kabisa, tena wanamsengenya vibaya sana na wamemtungia majina tofauti.

Hao ndio hatari, wanajipendekeza sana na huku wanampinga vijembe kwa chini chini.
 
Probably fear for his life prompted him to go and kowtow to Magufuli.

All in all, this is just politics and that could be his way of making a move. Let's just be spectators!
 
Ccm ni Chama kinachomaliza Migogoro yake chenyewe na tayari Vyama chipukizi vimeanza kuiga kwa kuachana na fukuza fukuza
 
Najiuliza tu kwa sauti, kama yale maongezi yasingedukuliwa angeenda kuomba msamaha? Kama jibu ni hapana basi Nape ni mnafiki wa kiwango cha lami.

Mpaka sasa Membe ndiye bado anaonekana shujaa.
 
Mkuu Membe anafuatia
Najiuliza tu kwa sauti, kama yale maongezi yasingedukuliwa angeenda kuomba msamaha? Kama jibu ni hapana basi Nape ni mnafiki wa kiwango cha lami.

Mpaka sasa Membe ndiye bado anaonekana shujaa.
 
Magu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini, na Nape nae anamuhitaji Magu ili ajiweke katika nafasi nzuri ya jina lake kupita kama mgombea 2020.

In short,kila mtu hapo anamuhitaji mwingine kuelekea 2020.

Ni kweli tunajua CCM hawategemei sanduku la kura kushinda, ila ni ukweli pia wangependa zaidi washinde kupitia sanduku la kura.
CCM ni chama kikuuu cha siasa siyo tu Tanzania hata nje ya mipaka. Viongozi wake, wazee kwa vijana, na wake kwa waume wameshiriki kikamilifu kusaidia nchi barani Afrika kupata uhuru.

Ni dhahiri kuwa hakuna mtu binafsi aliye juu ya CCM na hivyo umaarufu wa mtu ataupata ndani ya CCM na si vinginevyo.

Lakini vyama vingine vya siasa nchini vinahitaji umaarufu wa mtu binafsi kupata umaarufu. Mifano iko mingi ukidhibitishwa na kupotea kwa baadhi ya vyama katika ulingo wa siasa.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI na FIKRA za Wahasisi wake chini ya Baba wa Taifa.
 
Nawaomba waandishi wa habari wamtafute membe, makamba Na kinana wawaulize lini wanakwenda kuomba msamaha ikulu? Au kwa mungu wa ccm.wenzetu wamezoea maisha mteremko ya kubebwa...ya huku mtaani wanayasikia tu redioni.
 
CCM ni chama kikuuu cha siasa siyo tu Tanzania hata nje ya mipaka. Viongozi wake, wazee kwa vijana, na wake kwa waume wameshiriki kikamilifu kusaidia nchi barani Afrika kupata uhuru.

Ni dhahiri kuwa hakuna mtu binafsi aliye juu ya CCM na hivyo umaarufu wa mtu ataupata ndani ya CCM na si vinginevyo.

Lakini vyama vingine vya siasa nchini vinahitaji umaarufu wa mtu binafsi kupata umaarufu. Mifano iko mingi ukidhibitishwa na kupotea kwa baadhi ya vyama katika ulingo wa siasa.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI na FIKRA za Wahasisi wake chini ya Baba wa Taifa.
Kwa sasa jpm Ni Mkuu kuliko hill liccm.
 
Magu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini, na Nape nae anamuhitaji Magu ili ajiweke katika nafasi nzuri ya jina lake kupita kama mgombea 2020.

In short,kila mtu hapo anamuhitaji mwingine kuelekea 2020.

Ni kweli tunajua CCM hawategemei sanduku la kura kushinda, ila ni ukweli pia wangependa zaidi washinde kupitia sanduku la kura.
Kwa kuwapa matango pori Vibendera wenzie
Unajitahidi
 
kuielewa CCM inahitajika miaka 100 ya darasani ,miaka 100 ya field na miaka 200 ya kazi. usivuke stage moja kwenda nyingine kabla ya miaka 100 mtapata tabu sana.
 
Back
Top Bottom