Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili laweza kufanyika hivi lakini moyoni kila mtu kati yao analo lake jambo, either mtu anakwepa kusulubiwa au anaomba yaishe maisha yaende, ila kunaweza kukawa na timing maana adui huwa hataki ujue kuwa ni adui wako. Swali la kufikirisha: Je JIWE ASINGEDUKUA SAUTI HALI ILIKUWEJE HUKO MBELENI? KWA MAANA NYINGINE JIWE ASINGEJUA ANAVYOSEMWA, HAO NDIO WALIO DUKULIWA SAUTI NA JE, WENGINE AMBAO HAWAJAONGEA WANAYAPI MOYONI MWAO.
Mkuu huo Ni uwongo mbona komu Na kubenea walisamehewaCCM ni Chama makini sana chini ya uongozi makini wa Mh. Rais wetu mpendwa, JPM..
Chadema haiwezi samehe mtu hata siku moja, ila CCM ni chama cha kujifunza kwa wengine.. Sisi tunaonyesha mfano wa uongozi bora ukoje.
Hongera Mh. Rais na hongera Nape, sasa ni kazi tu
Kwa hii comment yako si comment kitu agiza unachotaka nitakulipia usijariNdo siasa hizi
unafiki mwanzo mwisho
Baada ya uchaguzi mwakani tutajua rangi halisi za wanasiasa
Ndugu mimi hao walioweka yao ya moyoni wazi, siwaoni kama wanampinga Magufuli wala hawamchukii hata chembe, ukweli ni walikuwa wakweli wake na washauri wazuri sana.Hili laweza kufanyika hivi lakini moyoni kila mtu kati yao analo lake jambo, either mtu anakwepa kusulubiwa au anaomba yaishe maisha yaende, ila kunaweza kukawa na timing maana adui huwa hataki ujue kuwa ni adui wako. Swali la kufikirisha: Je JIWE ASINGEDUKUA SAUTI HALI ILIKUWEJE HUKO MBELENI? KWA MAANA NYINGINE JIWE ASINGEJUA ANAVYOSEMWA, HAO NDIO WALIO DUKULIWA SAUTI NA JE, WENGINE AMBAO HAWAJAONGEA WANAYAPI MOYONI MWAO.
Hivi JF huwa ni lazima ukiambatanisha picha zijirudie mara mbili mbili? Au huwa ni kwangu tu naonaga hivyo??
M
Mkuu huo Ni uwongo mbona komu Na kubenea walisamehewa
Najiuliza tu kwa sauti, kama yale maongezi yasingedukuliwa angeenda kuomba msamaha? Kama jibu ni hapana basi Nape ni mnafiki wa kiwango cha lami.
Mpaka sasa Membe ndiye bado anaonekana shujaa.
CCM ni chama kikuuu cha siasa siyo tu Tanzania hata nje ya mipaka. Viongozi wake, wazee kwa vijana, na wake kwa waume wameshiriki kikamilifu kusaidia nchi barani Afrika kupata uhuru.Magu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini, na Nape nae anamuhitaji Magu ili ajiweke katika nafasi nzuri ya jina lake kupita kama mgombea 2020.
In short,kila mtu hapo anamuhitaji mwingine kuelekea 2020.
Ni kweli tunajua CCM hawategemei sanduku la kura kushinda, ila ni ukweli pia wangependa zaidi washinde kupitia sanduku la kura.
Kwa sasa jpm Ni Mkuu kuliko hill liccm.CCM ni chama kikuuu cha siasa siyo tu Tanzania hata nje ya mipaka. Viongozi wake, wazee kwa vijana, na wake kwa waume wameshiriki kikamilifu kusaidia nchi barani Afrika kupata uhuru.
Ni dhahiri kuwa hakuna mtu binafsi aliye juu ya CCM na hivyo umaarufu wa mtu ataupata ndani ya CCM na si vinginevyo.
Lakini vyama vingine vya siasa nchini vinahitaji umaarufu wa mtu binafsi kupata umaarufu. Mifano iko mingi ukidhibitishwa na kupotea kwa baadhi ya vyama katika ulingo wa siasa.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI na FIKRA za Wahasisi wake chini ya Baba wa Taifa.
Kwa kuwapa matango pori Vibendera wenzieMagu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini, na Nape nae anamuhitaji Magu ili ajiweke katika nafasi nzuri ya jina lake kupita kama mgombea 2020.
In short,kila mtu hapo anamuhitaji mwingine kuelekea 2020.
Ni kweli tunajua CCM hawategemei sanduku la kura kushinda, ila ni ukweli pia wangependa zaidi washinde kupitia sanduku la kura.
Sema alichokosea ni kutangazia umma.Kwa Upendo upi Kwa wanadamu