Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini, na Nape nae anamuhitaji Magu ili ajiweke katika nafasi nzuri ya jina lake kupita kama mgombea 2020.
In short,kila mtu hapo anamuhitaji mwingine kuelekea 2020.
Ni kweli tunajua CCM hawategemei sanduku la kura kushinda, ila ni ukweli pia wangependa zaidi washinde kupitia sanduku la kura.
Eti kuna watu ndani ya JF walishabikia misimamo ya watu hawa. Uzembe wao ukageuzwa kuwa ushujaa. wakawa ni kigezo cha ubora wa rais. Kwa ujumla kama kawaida yangu, nawakumbusha, kuweni makini na wanasiasa wetu ambao wengi ubora wao uko chini.Mbunge wa Mtama Nape Nnauye amefika Ikulu jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuomba msamaha. Ameomba msamaha na kusamehewa kosa aliliofanya miezi michache iliyopita.
Akizungumza akiwa nje ya Ikulu baada ya kuzungumza na Rais Magufuli, Nape Nnauye amesema "Kwanza nimekuja kumuona baba yangu lakini Mwenyekiti wa Chama changu, Rais wangu kwasababu wote mnajua mambo yaliyopita au kutokea hapo katikati na mimi kama mtoto wa CCM, kama mwanae, nimeona ni vizuri nije niongee na Baba yangu.
Nashukuru kwamba amenipa fursa ya kuja kumuona na ameniambia amenisamehe na amenipa ushauri na kwakweli kwa dhati ya moyo wangu nishukuru sana amenipa fursa kubwa sana."
Mbunge Nape anaendelea kusema "Kwa kweli Muheshimiwa Rais kama Baba yangu, kama mzazi wangu nashukuru sana kwa fursa uliyonipa kwa kunisikiliza, kwa kunisamehe, kunishauri, kunielekeza nifanye nini huko mbele ninapokenda."
Rais Magufuli amesma "Mimi nimeshamsamehe kwa dhati Nape, amekuwa akiandika 'message' nyingi sana za kuomba msamaha hata saa nane za usiku nimemuona huyu mtu akiomba msamaha'"
"Leo ameniomba hapa aje anione na kabla, amejaribu sana, ameenda kwa Mzee Mangula amefika hadi kwa Mzee Opson na Mama Nyerere, amehangaika kweli. Na kwamba sisi tumeumbwa kusamehe, na wewe umemuona asubuhi amekuja hapa nikasema siwezi kumzuia kumuona ngoja nimuone kwanza japo nilikuwa na kikao kingine na kikubwa" ameongeza Rais Magufuli
"Anachozungumza ni kwamba naomba Baba unisamehe, najua kusamehe kunaumiza lakini nasema kwa dhati kabisa nimemsamehe kabisa na anaeleza yaliyokuwa yanamsibu na baadhi ya watu waliokuwa wanamrubuni. Wengine wapo kwenye chama lakini nasema yote tumesamehe kwa sababu bado ni kijana mdogo na ana 'future' nzuri kwenye maisha yake."
"Nikiendelea kumshikilia kwenye moyo wangu, kwanza ni dhambi kubwa kwa mwenyezi Mungu na imeandikwa tusamehe saba mara sabini na Mungu amtangulie katika shughuli zake, akalee mke wake na familia yake, akakitumikie chama na akawatumikie wananchi wa jimbo lake." Amemalizia Rais Magufuli
Wakimalizia katika maongezi yao nje ya Ikulu, Rais Magufuli alimuuliza Nape "Kwa hiyo ulikuwa huna amani?"
Nape: Sana
Rais Magufuli: Uwe na amani na Mungu akusaidie
Pia soma;
Imevuja sauti inayodaiwa ni Maongezi ya Simu ya Nape Nnauye na Abdulrahman Kinana kuhusu njama za kuichafua CCM
Ni kuhusu barua iliyotolewa na Makamba na Kinana kuhusu kuchafuliwa na Musiba. Ni Maelekezo ya Kinana Kumtaka Nape aisambaza barua kwenye vyombo vya habari. Kinana: Mwambie bwana hawa jamaa wanatoa statement leo, Unafikiri tumpe nakala? [Nape: Hapana] Mwambie wanaiandaa Mzee wataitoa leo...www.jamiiforums.com
Boss, hebu rudia kusoma msg zako juu ya sifa ulizomwaga kwa Nape ukiamini ni shujaa. Hata kama kaitwa je, yuko kiwango cha chini kiasi cha kuambiwa maneno ya kubembeleza? Kama wasemavyo waingereza, ukitaka kujua wewe ni nani, angalia unaowaunga mkono walivyo.Ndogo ndogo za kitaa zinadai Bugiri ndiye aliyemualika Nape Ikulu.
Ukishasema sanduku la kura, Nape alibebwa! Nape siyo mbunge wa mikoa ya kusini, ni mbunge wa jimbo moja tu! Sifa za Nape unazozitoa ni zile za toilet paper.Magu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini, na Nape nae anamuhitaji Magu ili ajiweke katika nafasi nzuri ya jina lake kupita kama mgombea 2020.
In short,kila mtu hapo anamuhitaji mwingine kuelekea 2020.
Ni kweli tunajua CCM hawategemei sanduku la kura kushinda, ila ni ukweli pia wangependa zaidi washinde kupitia sanduku la kura.
Magu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini, na Nape nae anamuhitaji Magu ili ajiweke katika nafasi nzuri ya jina lake kupita kama mgombea 2020.
In short,kila mtu hapo anamuhitaji mwingine kuelekea 2020.
Ni kweli tunajua CCM hawategemei sanduku la kura kushinda, ila ni ukweli pia wangependa zaidi washinde kupitia sanduku la kura.
mkuu mpaka leo unafatilia katiba ya Tz, huyo haondoki hapo ikulu labda akipenda au afe mwenyewe akipenda pia.Magufur Anauwezo wa kuwaengua kwenye mchakato wa kura za maoni 2020 na akampitisha mgombea namba2 na 2025 wakigombea tena kwenye kupitishwa na ccm ili wawe wagombea ubunge magufur ana wahengua tena , kwaiyo January na Nap wameliona ilo wangejifanya manunda ubunge wageusikia kwe Redio tu, ingebid wasubili mbaka 2030 magufur atakuwa ana nguvu tena, Maana 2025 kipind cha uchaguz magufur anakuwa bado Raisi na mwenyekiti wa chama.
Kwa sasa jpm Ni Mkuu kuliko hill liccm.
Boss, hebu rudia kusoma msg zako juu ya sifa ulizomwaga kwa Nape ukiamini ni shujaa. Hata kama kaitwa je, yuko kiwango cha chini kiasi cha kuambiwa maneno ya kubembeleza? Kama wasemavyo waingereza, ukitaka kujua wewe ni nani, angalia unaowaunga mkono walivyo.