Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Kwa hiyo ni kweli Magufuli alikuwa akiua wapinzani kwa maslahi ya taifa?
 
Hii ndio hali halisi ndani ya CCM kwa sasa! Wapo vipandevipande vinavyohasimiana! Mwendazake alikimaliza chama kabisa bila kujua. Tutaona na kusikia mengi bado!
 
Chamani Kuna viroboto kumbe, basi tunyunyize dawa kuwaangamiza viroboto bila kusahau kudumisha usafi wa nyumba na malazi yetu🤔.
Wote hao (Nnauye & Polepole) ni watu waliyofika huko waliko kwakutegemea godfathers. nnauye akimtegemea baba yake na Mzee Yusufu Makamba na polepole akimtegemea Magufuli. Kuna vijana wengi wenye mvuto na waliyokuwa wakijulikana kisiasa vyuoni kwetu, lakini kwa kukosa godfathers mpaka leo hawajulikani. January Makamba naye ni mtindo huo huo wa godfazas. tena Nnauye na Makamba wanafanana maana wote haramu. Makamba angekuwa siyo mtoto wa Mkubwa siku hizi angekuwa chinga, maana aliibia mtihani na kutiwa matokeo. Angekuwa mtoto wa mkulima kufutiwa mtihani ndiyo ungekuwa mwi\sho wa safari yake!
 
Hii ndio hali halisi ndani ya CCM kwa sasa! Wapo vipandevipande vinavyohasimiana! Mwendazake alikimaliza chama kabisa bila kujua. Tutaona na kusikia mengi bado!
Huyu unayemwita mwendazake ndo aliirejesha ccm kwa wanachi wakaanza kuipenda .ili ccm ya kuvaa nguo yake ukaanza kuzomewa ilipotea .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ni kweli Magufuli alikuwa akiua wapinzani kwa maslahi ya taifa?
Sijui, ili taifa lazima taifa liwe huru.

Lazima utaua watu wachache ili Taifa liendelee lazima ufanye hivyo.

Watu wanatetea Magaidi pale Mkurunga , kibiti, kusini wewe ujijiita John Sack, ungefanyaje ungekuwa kiongozi? Mkono wa chuma ni muhimu.
 
Nape anamwita mwenzake kiroboto. Amesahau kuwa hata yeye ni walewale tu. Hata yeye alipokuwa kwenye nafasi ya msema chochote wa chama alikuwa Kiroboto Plus. Wasituchanganye hawa wanasiasa, wote mambo yao yanafanana kwa sehemu kubwa- uongo na unafiki ndo nuymbani kwao.
 
Sijui, ili taifa lazima taifa liwe huru.

Lazima utaua watu wachache ili Taifa liendelee lazima ufanye hivyo.

Watu wanatetea Magaidi pale Mkurunga , kibiti, kusini wewe ujijiita John Sack, ungefanyaje ungekuwa kiongozi? Mkono wa chuma ni muhimu.
Hahaha kwa hiyo hao wa Mkuranga ni wapinzani wake wa kisiasa?

Tunazungumzia wapinzani wengi waliouawa kipindi cha Magufuli, hao aliwaua kwa maslahi ya Taifa yepi hayo?
 
"Kina wenyewe" sio mnakishabikia tu, jiulize na wewe ni mwenyewe??
 
Hahaha kwa hiyo hao wa Mkuranga ni wapinzani wake wa kisiasa?

Tunazungumzia wapinzani wengi waliouawa kipindi cha Magufuli, hao aliwaua kwa maslahi ya Taifa yepi hayo?

Wapi hao,tupe majina. Siyo tuhuma tu.

Wewe ungekuwa kiongozi , unafikiri hauwezi kuwapunguza wahuni wanaokwamwisha juhudi zako kuwaletea maisha mazuri ndugu zako.
 
Wapi hao,tupe majina. Siyo tuhuma tu.

Wewe ungekuwa kiongozi , unafikiri hauwezi kuwapunguza wahuni wanaokwamwisha juhudi zako kuwaletea maisha mazuri ndugu zako.
Ahaa, kumbe aliwaua akaleta maisha mazuri?
 
Nape busara zimeenda kudhurura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…