Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kwa hiyo ni kweli Magufuli alikuwa akiua wapinzani kwa maslahi ya taifa?Hi hivi hakuna utawala duniani popote ambai haujawahi kuua, kuteka.
Lissu na Fatma Karume kuwapigia debe wazungu ni uhaini. Wazungu hawafanyi hivyo kwenye rasilimali zao. Wanaungana kama sasa kumthibiti Mrusi, Mchina. Afrika tayari ibilishabitiwa.
Kibiti, Mkuranga, Dar kungekuwa na Ugaidi wa kutisha. Maamuzi magumu kwa taifa yanahitajika ukiwa kiongozi wa ukweli kufanya inabidi kufanya maamuzi.