Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Kwani yeye Nape wakati wa kupigania uhuru kuna mtu wa ukoo wake alishiriki. Baba yake alujiunga na TANU baada ya uhuru tena alipotaka kujiunga na jeshi hivyo hawezi kudai yeye ni mmojawao wa wenyewe. Tena afadhali hata ya Mbowe anaweza kudai haku zaidi CCM naana baba yake aliipigania TANU wakati wa uhuru.

Wanaoweza kudai ndio wenye chama ni wake waasisi 17 na wale wakiijiunga na TANU wakati wa kupigania uhuru wengine wote waliojiunga baada ya uhuru sio wenyewe.
 
Hii pia inaweza kuwa spinning !

All in all ushirika wa wachawi haudumu.
 
Ndiyo mlidhani hizi sheria za kipuuzi zitaishia tu kuwaumiza wapinzani,??

Mlishaambiwa "wakimalizana na sisi watawageukia na nyie"
Na bado, Hadi waliokuwa kikwazo kipatikana katiba mpya mjitokeze hadharani na mtubu madhambi yenu🤔.
 
Hao wenyewe ni kina nani? Huyu naona anazeeka vibaya...Ajue mbele yake kuna kiza kinene asijione amefika, safari bado inaendelea akina sisi ni wabishi sana tuking'ang'ana haliwaki jua wala hainyeshi mvua mpaka unabii utimie...Hakuna mwenye mali yake mwenyewe wadau tuko wengi na baba yetu alitupa wosia, ukiona watu wana resort kwenye weak statements kama hizi ujue hata kujiamini hakupo...Time is a good healer...Tuijenge nchi yetu, tuipende tuache kupimana ubavu kwa maslahi binafsi...Tanzania ni ya watanzania wote kilicho na wenyewe kinatuhusu nini sisi watanzania?
 
Tayari mmeshaanza kuita press kulia-lia kuwa shimo mlilowachimbia wapinzani mmeanza kuingia wenyewe 😂
Alafu Mungu mzuri ukiua kwa upanga na wewe utakufa hivyo hivyo ila walio wake anawahuluku
 
Ila CCM hawajua kinachoendelea mtaani sio? Wafanye tafiti kuna chuki sana inajengeka...watakuja washangae akitokea mwanasiasa ana nguvu...watashangaa sana watu kama kina Nnape. Just someone to ignite
Mwanasiasa mwenye nguvu bila backup ya MFUmo Ni KAZI BURE.CCM PLUS MFUMO hakuna chama wa mwanasiasa anaweza ishinda CCM
 
Hiki kipande cha sentensi, "kina wenyewe", kitamtesa sana Nape kwenye siasa za Tanzania na siasa za CCM. Take that to the bank.
 
Sure. Makamu akae siku 90 tu. Then uchaguzi mpya ufanyike. Kila kura ni kura ya maoni(referendum), yaani namna ya watu kuwasilisha maoni yao ya namna ya kuongozwa. Hakuna kuokota embe dodo tena.
 
Hakuna mwana CCM mtetezi wa wananchi, wakishatemeshwa tonge ndivyo wanavyokuwaga, unafiki umewajaa
 
Ni kama kwa wananch waliochagua CDM wanaonwa kama wakimbizi hawapaswi hata kupelekewa huduma za maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…