Nimesikitika, angenyamaza ingekuwa bora zaidi. Mheshimiwa nape anaonekana ni mtu wa bifu sana asiyependa kunyamaza. Matokeo ya anachokifanya hapa ni kuibuka kwa mivutano zaidi......labda ndicho anachokitaka. Ccm ni ya wote, nani kasema ina wenyewe?!! Disgusting!
Simpendi polepole sababu ni mnafiki namba moja, mdini na mbaguzi wa kikanda aliyefadhaika, aliyeshindwa kabla hajaanza, asiye na haya na aliyerUkwa na akili lakini bado naamini anapaswa kukaliwa kimya na wenye akili....hapaswi kujibiwa lolote aachwe tu na ngonjera zake. Kumjibu polepole ni kutumia vibaya akili yako na muda wako.....ni dhaifu mno kwa sasa!!