Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Ila CCM hawajua kinachoendelea mtaani sio? Wafanye tafiti kuna chuki sana inajengeka, watakuja washangae akitokea mwanasiasa ana nguvu...watashangaa sana watu kama kina Nnape. Just someone to ignite
Ujumbe mzito sana
Nimekuelewa mkuu
 
Ni bora kuliko kua na kundi la utekaji, utesaji uuaji na uvamizi kweny mali za watu na pesa bank!!
Naakupa tu dondoo. 2010-2015, wapo wengi waliuwawa, Mawazo wa Geita, waandishi kumwagiwa tindikali na kutobolewa macho, Muulize Kibanda, Mwandishi wa habari kuuwawa Iringa, Dr. Mvungi alilalamika anafuatiliwa baadae kuvamiwa na kukatwa mapanga hatimae kifo. Muulize Dk. Ulimboka kutekwa kung'olewa kucha kisa kudai haki za madakitari. Dr. Silaa na mashumbusi kupigwa kule arusha .
Nyani haoni kundule!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti hayo yatamalizwa na katiba mpya! Yaani nikiwacheki hawa jamaa....najisemea ninyi mnahitaji somo la "Problem analysis", hivyo muanze madarasa ya Shule ya uongozi ya Polepole.
Katiba ni kichaka tu cha wao kurudi kwenye ulingo wa siasa .tuangalia nchi zilizounda katiba moya hivi karibu ndo kusema kwa sasa matatizo yao kama ufisadi,huduma za jamii ndo zimeimarika ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila CCM hawajua kinachoendelea mtaani sio? Wafanye tafiti kuna chuki sana inajengeka, watakuja washangae akitokea mwanasiasa ana nguvu...watashangaa sana watu kama kina Nnape. Just someone to ignite
Endelea kujidanganya...

Chama kina wenyewe... Nchi ina wenyewe... Kiroboto ameshatoka ktk mfumo...

Anayo yafanya nape naye aliyafanya, nape alidharirishwa wao na genge lao walifurahi

Sasa hivi upande uliopo hauna mpango nao hivyo hawana ishu ndio maana kelele kibao

Mama alizungumza sikuile awamu iliyopita ndio ilikuwa na madudu na waliopo katika mfumo wanataka kuangusha jumba bovu wakati huu

Vitu rahisi kuvielewa...

Kiroboto hana ishu aende popote hata chadema akawe mwenyekiti agombee urahisi etc aende mapema sana...

Sio chama tu bali nchi INA wenyewe...

Kuna mfumo wake, ukitoka nje ya mfumo utakaa benchi, godfather wakiroboto alitoka ktk mfumo kwa kuhisi yeye ni alpha na omega...

Mfumo ukikukataa umeisha
 
Chakubanga lazima achukue hayo maneno kwa makini sana...hasa anapoambiwa (Chama) kinawenyewe hiki sheikh...watu Wanamaanisha. Ule muda alikuwa anatukana watu KOMA KAMA ULIVYOKOMA KUNYONYA ZIWA LA MAMA YAKO...umepita sasa. Yeye ndo akome. Kweli dunia duara
 
Huyo Polepole mbona hakuongea anayoyaamini kuhusu katiba mpya kipindi cha magu? Na alipopewa ulaji akanyamaza kimyaaa....yeye sio mchumia tumbo? Polepole pale CCM yeye ni wakuja tu. Alikuta chama kina wenyewe...watu wameanza toka umoha wa vijana wa chama. Yeye kaja kaanza kujisifia vieitee...Mchumia tumbo tu
 
Nogu
 
THE UNDENIABLE FACT IN THIS WORLD IS THAT YOU HAVE GOT TO BE VERY CAREFUL WITH THE WAY YOU DEAL WITH SOME PEOPLE. SOME PEOPLE WITH A THOUGHT THAT AT SOME POINT SOMEWHERE YOU HAPPENED TO MANIPLULTE THEM, BE IT TRUE OR NOT, ARE LIKELY TO SPEND THEIR ENTIRE LIFE SEEKING REVENGE AGAINST YOU.
 
Ssssssssssssss&s
 
S
 
Wacha punda arushe mateke, nimependa huu msamiati dadadeki hahaha Sasa apa patamu
Kumbe jamaa nikiroboto tu 😂😂
 
Ni kuweka kipengele tu kwenye katiba! We kama baba yako mjomba au shangazi alishawahi kushika ukurugenzi, uraisi au uwaziri kwenu imetosha hamna mtu atakaeruhusiwa kugusa hilo eneo tena!

Aidha ugombee ubunge au upewe ubalozi tu😅!

Vinginevyo mawaziri wakurugenzi nao wapigiwe kura na wananchi!
Hahaaaa!!!!!sasa mkuu tutafanyaje na wenzetu wamejipanga vilivyo????
 
Hahaaaa!!!hlo cdhan kama litatokea hv karibun hawawez kata mkono unaowalisha
 
Kumbe kwaujumla CCM haitufai bas!
 
Wote hao wachumia tumbo tu #tunataka katiba mpya#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…