chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
aliyekimaliza chama ni kikwete,enz zake chama kilinuka ufisadi na uchafu wa kila namna,Hadi ss wengine tulipata shida mtaani,yaani ukipita umevaa shati lolote la kijani aise raia wanatamani wakugawane onspot,watu walichukizwa na ufisadi wa serikali ya 4 kupindukia,akinamama zike kanga zao za kijani na njano waliogopa kuvaa kwa aibu ya ufisadi wa serikali ya awamu ya 4,chama kilioza na kuzaraulika kupindukia, kila mwana ccm enz hizo aliitwa ni fisadi hata Kama ni msafi,Hii ndio hali halisi ndani ya CCM kwa sasa! Wapo vipandevipande vinavyohasimiana! Mwendazake alikimaliza chama kabisa bila kujua. Tutaona na kusikia mengi bado!