Barakaeli174
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 171
- 142
Nape na Sophia Simba nani alianza kujiunga na chama jibu hilo.Hawezi kumfukuza.
Alizoea maisha gani?Nape bado anasafari ndefu kisiasa ukichanganya na maisha aliozoea nikwamba hawezi kujichanganya ktk hili
Atakuwa mbunge wa mahakama.Subiri abugi stepu ndio utasema hilo unalolisema kwa sasa siwezi kukujibu
Yule jamaa aliyejichoma moto misri anafaa kwa mfano utakaofuata.nape akiongea tofauti hasa kumponda mkulu atafukuzwa uanachama...