ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
mmhm maajabu juu ya maajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa timu flani sio sababu ya msingi kumwadhibu visivyo.Ukiisha kaa mbele ya kichwa cha treni ww ndio mkulu.....achana na hadithi za mtaani zilipendwa....ooh huyu alipigania chama ....that is a dam sheet.....kwani nani asiyejua Pena.....alikuwa teem Membe
I wish you know what you are talking.Nape hafukuzwi atapewa kazi za chama hata ukuu wa mkoa wa Dar,usifikiri ni mjinga kwa kila kitu,ameishajifunza kukimbia vijiwe vya mitandao,hakujua wale aliokuwa akiwatetea ni akina pangu pakavu tia mchuzi.
Mbona kama wewe ndio unaogopa zaidi kuliko napeWana Jf,
Nape Nauye anaandaliwa mtego ili afukuzwe na uanachama kwa kiherehere chake kama wanavyodai, lazima afahamu kwanini Sophia Simba alifukuzwa ni kwa maneno yake ya kupinga...
Sasa Mwenyekiti wa chama kasema ana sauti kubwa na akisema anasema yeye ndio Mwenyekiti. Namuomba kaka yangu Nape awe makini sana, asiongee lolote kuanzia muda ambao alipokea baruwa ya kuachishwa uwaziri. Namsihi awe makini achunge sana mdomo wake, awe na akiba ya maneno.
kwani CCM umeambiwa n mbinguni....kuna nini..Wana Jf,
Nape Nauye anaandaliwa mtego ili afukuzwe na uanachama kwa kiherehere chake kama wanavyodai, lazima afahamu kwanini Sophia Simba alifukuzwa ni kwa maneno yake ya kupinga...
Sasa Mwenyekiti wa chama kasema ana sauti kubwa na akisema anasema yeye ndio Mwenyekiti. Namuomba kaka yangu Nape awe makini sana, asiongee lolote kuanzia muda ambao alipokea baruwa ya kuachishwa uwaziri. Namsihi awe makini achunge sana mdomo wake, awe na akiba ya maneno.
hana njaa kama bashitenape akiongea tofauti hasa kumponda mkulu atafukuzwa uanachama...