minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Dogo kashikilia Tunguli za MkuluSio bashite dogo.hicho ni kivuli cha mkulu,acha wajichangaye[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo kashikilia Tunguli za MkuluSio bashite dogo.hicho ni kivuli cha mkulu,acha wajichangaye[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuseme ukweli tu tuache ushabiki, hivi Sophia na Nape nani ana ushawishi kwenye jamii!?Sophia kaondoka yeye atashindwaje
Kwani ccm ni baba na mama yake? Mzee Nnauye alishatangulia hivyo hana haja ya kuogopa kufukuzwa kwenye boma. Sema itabidi achunge account yake atumie vizuri akiba yake ili imsaidie mpaka hapo atakapoweza kupata kazi nyingine mitaani.Wana Jf,
Nape Nauye anaandaliwa mtego ili afukuzwe na uanachama kwa kiherehere chake kama wanavyodai, lazima afahamu kwanini Sophia Simba alifukuzwa ni kwa maneno yake ya kupinga...
Sasa Mwenyekiti wa chama kasema ana sauti kubwa na akisema anasema yeye ndio Mwenyekiti. Namuomba kaka yangu Nape awe makini sana, asiongee lolote kuanzia muda ambao alipokea baruwa ya kuachishwa uwaziri. Namsihi awe makini achunge sana mdomo wake, awe na akiba ya maneno.
Acha nidhamu za uoga.....Wana Jf,

Ukiisha kaa mbele ya kichwa cha treni ww ndio mkulu.....achana na hadithi za mtaani zilipendwa....ooh huyu alipigania chama ....that is a dam sheet.....kwani nani asiyejua Pena.....alikuwa teem MembeNape ni mmoja wa mzizi mkuu wa mtawala yule, alihakikisha mtawala anaota wakiwa na makamba+mwigulu. Hivyo awe makini kuukata mzizi huu
Mtoe mzee wangu Warioba kipodo alichopewa na albert kinamtosha. Katu hawezi mkalibia hata kwa mita mia. Bashite balaa nadhani huwa wanapokezana kwenda Milembe na mataputapu.Visasi hivi ccm inakwenda kufa na watakao ua ccm ni wana ccm wenyewe. Kwanza kwa kumchekea Rais ambae hashauriki. Mbili kwa kuruhusu visasi viendeleee . niliwahi sema hivi viongozi wenye weredi wa utawala wapo wapi?
Mzee Mwinyi
Mzee Kikwete
Mzee mangula
Mzee Warioba
Mzee kinana
Kwanini mnaburuzwa na mnaaibisha chama kwa kunyamazia kimya mwenendo huu unaoendelea?
Hivi Daudi A. Bashite amefanya jambo gani ambalo linafanya aone yeye ni bora? Kwanini mawaziri wanaogopa? Kwanini wale think tanker nao wamefyata mkia?.
Nahisi watanzania wote tupaze sauti iwe kwenye Facebook, tweeter,Instagram na mitandao yote tudai utawala wa sheria.
Nape ni kiungo mkubwa sana kwa chama hiki Rais awe makin sana
Wana Jf,
Nape Nauye anaandaliwa mtego ili afukuzwe na uanachama kwa kiherehere chake kama wanavyodai, lazima afahamu kwanini Sophia Simba alifukuzwa ni kwa maneno yake ya kupinga...
Sasa Mwenyekiti wa chama kasema ana sauti kubwa na akisema anasema yeye ndio Mwenyekiti. Namuomba kaka yangu Nape awe makini sana, asiongee lolote kuanzia muda ambao alipokea baruwa ya kuachishwa uwaziri. Namsihi awe makini achunge sana mdomo wake, awe na akiba ya maneno.
sio kwa utawala huu...Hawawezi kumfukuza uanacha , Nape anajua siri nyingi za chama hawawezi kufanya hilo kosa.
Usiogope mkuu labda anakwenda kumshukuru Rais kwa uamuzi wa kumpumzisha na kwamba atakuwa tayari kutumika pindi atakapohitajika tena.Wana Jf,
Nape Nauye anaandaliwa mtego ili afukuzwe na uanachama kwa kiherehere chake kama wanavyodai, lazima afahamu kwanini Sophia Simba alifukuzwa ni kwa maneno yake ya kupinga...
Sasa Mwenyekiti wa chama kasema ana sauti kubwa na akisema anasema yeye ndio Mwenyekiti. Namuomba kaka yangu Nape awe makini sana, asiongee lolote kuanzia muda ambao alipokea baruwa ya kuachishwa uwaziri. Namsihi awe makini achunge sana mdomo wake, awe na akiba ya maneno.
Hivyo hivyo kama ulikuwepo ndugu ebu kunywa pepsi bariiiidi naja kulipa!!Tunasubiri wamfukuze ili njia iwe nyeupe