RICHSON JONAS
Member
- Oct 25, 2016
- 25
- 2
Wakimfukuza kwetu ni shwangwe maana ndo atatudhiirishia ukweli zaidi uliopo nyuma ya pazia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nape ana mtandao mkubwa CCM na ingawa Makonda amemfanyia fitna lakini wana CCM wengine watamsaidia kumpa fundisho Daudi bashite Mpaka aje kujutia Ujinga wake.Natamani afukuzwe UCCM ili movie inoge zaidi. Nampa hongera kwa alichokifanya.
Hii ishu inaanzia wapi?? Mzizi wake ni nini??Si kweli hii haijasukwa na Chadema kwani Makonda na Nape walianza kutofautiana kipindi Wema sepetu kawekwa ndani huo mgogoro ni wa CCM wenyewe usiuhusishe na Chadema kabsa isipokuwa sasa Nape atapewa pole na Chadema kwa ushujaa wa kusema Ukweli ingawa umemgharimu
Hili picha utasikia starling amefia kwenye maua/chini ya mnazi.Nape ana mtandao mkubwa CCM na ingawa Makonda amemfanyia fitna lakini wana CCM wengine watamsaidia kumpa fundisho Daudi bashite Mpaka aje kujutia Ujinga wake.
Umenena, ngoja nisome alivyoandika Nape mtandaoniMzee wake kamlelea chamani yeye kakuzwa na kulelewa na chama nayeye akakua akakitumikia na kukieneza pia kifupi nape na ccm wameleana. Anaijua ccm zaidi naweza sema sasa sio wakumchukulia poa poa kama kitumbua cha mama saidi.mambo ya Susi na Chuma haya.
kasema tutulieUmenena, ngoja nisome alivyoandika Nape mtandaoni
Huo mtandao mkubwa mbona haukuwahi kumsaidia alipohamia CCJ - Kama Nape alisurrender kwa Kikwete atamwezea wapi MAGUFULI ?Nape ana mtandao mkubwa CCM na ingawa Makonda amemfanyia fitna lakini wana CCM wengine watamsaidia kumpa fundisho Daudi bashite Mpaka aje kujutia Ujinga wake.
Mkulu hana vyeti PHD yake ni ya kununua vyeti sasa kaamua kumkumbatia Kihiyo mwenzake wanawapiga majungu wale wote wanaothubutu kuwakosoa, wasukuma wawili sasa wanaiharibu Nchi ingekuwa kwetu Uganda huyo bashite tungemwonyesha cha mtema kuni.ushauri wako ungekua mzuri kama Nape angekosea..Nape yupo sahii, Daud kavamia clouds, hakutoa tamko kama mkulu wake alivyo.Ameunda tume na tume imefanya kazi na kutoa majibu...eti mheshimiwa sana akamtoa!Hizi phd za kutolewa na ud ni changamoto
Kikwete hakuwa mtu wa kukomoa watu kwa kuwabambikia kesi hakuwa na maadui wengi, lakini Magufuli ni mkomoaji ana wivu amejitengenezea maadui wengi kwa mda mfupi ambao wengi wataungana na Nape ili nao wampe somo Bashite.Huo mtandao mkubwa mbona haukuwahi kumsaidia alipohamia CCJ - Kama Nape alisurrender kwa Kikwete atamwezea wapi MAGUFULI ?
Watu wanataka vyeti vyeti Vyeti hata wafanye nini vyeti kwanzaNape hafukuzwi atapewa kazi za chama hata ukuu wa mkoa wa Dar,usifikiri ni mjinga kwa kila kitu,ameishajifunza kukimbia vijiwe vya mitandao,hakujua wale aliokuwa akiwatetea ni akina pangu pakavu tia mchuzi.
Wote wanaweza kufukuzwa lakini kamwe hawezi kuthubutu kumfukuza January makamba kwani ndiye anajua siri zote za Uchakachuaji mwanzo mwisho.NAPE...MWIGULU na MAKAMBA.....roho ya CCM kwa sasa.