Tetesi: Nape Nnauye kufukuzwa uanachama wa CCM

Status
Not open for further replies.
Ukiisha kaa mbele ya kichwa cha treni ww ndio mkulu.....achana na hadithi za mtaani zilipendwa....ooh huyu alipigania chama ....that is a dam sheet.....kwani nani asiyejua Pena.....alikuwa teem Membe
Kuwa timu flani sio sababu ya msingi kumwadhibu visivyo.
Pamoja na hayo Nape amejijengea heshima kwa wenye akili ya kung'amua mambo.
 
Nape hafukuzwi atapewa kazi za chama hata ukuu wa mkoa wa Dar,usifikiri ni mjinga kwa kila kitu,ameishajifunza kukimbia vijiwe vya mitandao,hakujua wale aliokuwa akiwatetea ni akina pangu pakavu tia mchuzi.
I wish you know what you are talking.
 
Mbona kama wewe ndio unaogopa zaidi kuliko nape
 
Nape zungumza....ndo kazi ya SIASA..husiogope na wala hata kufukiza labda utoke wewe kwa mapenzi yako...wewe unaijua ccm kuliko yeye
 
kwani CCM umeambiwa n mbinguni....kuna nini..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…