Nape Nnauye kutaka Kwako Kura za 'Dijitali' Uchaguzi Mkuu 2025 kunaweza kukufanya Utumbuliwe muda si mrefu

Nape Nnauye kutaka Kwako Kura za 'Dijitali' Uchaguzi Mkuu 2025 kunaweza kukufanya Utumbuliwe muda si mrefu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ni wazi kuwa huenda nawe sasa umekichoka Chama chako cha CCM na sasa unataka kikae pembeni, kwani GENTAMYCINE nina uhakika endapo Kura za Uchaguzi Mkuu ujao (2025) zitapigwa 'Kidijitali' basi Saa 3 Asubuhi tu CCM itaanguka na Kizimkazi Paje Kisiwani Zanzibar itapata Mgeni wao wa Kudumu na Tanzania kupata Chama Kipya cha Kushika Dola.
 
Soma hapo chini kwenye similar discussions. Huo uzi tayari hupo
 
Soma hapo chini kwenye similar discussions... Huo uzi tayari hupo
Idiot kwahiyo Uzi ukiwa tayari upo ndiyo unamzuia Mtu mwingine kuja nao kwa angle nyingine ya Kimjadala?
 
Idiot kwahiyo Uzi ukiwa tayari upo ndiyo unamzuia Mtu mwingine kuja nao kwa angle nyingine ya Kimjadala?
Nyie ndio mtu akifungua duka la samaki nawe unaenda kufungua kibanda cha samaki nje ya duka lake
 
Kwa hapa tuna safari ndefu ya kwenda
 
Attachments

  • Screenshot_20230929-081249.jpg
    Screenshot_20230929-081249.jpg
    96.8 KB · Views: 3
Mwachie jamaa anataka uzi wake Wake uonekane bhnaa 🤣🤣🤣
Hajui kuwa GENTAMYCINE nina uwezo wa kuanzisha Mada hata 20 kwa Siku na zote zikachangamkiwa Kimjadala?

Wengine tumezaliwa na Karama zetu.
 
Ni wazi kuwa huenda nawe sasa umekichoka Chama chako cha CCM na sasa unataka kikae pembeni, kwani GENTAMYCINE nina uhakika endapo Kura za Uchaguzi Mkuu ujao ( 2025 ) zitapigwa 'Kidijitali' basi Saa 3 Asubuhi tu CCM itaanguka na Kizimkazi Paje Kisiwani Zanzibar itapata Mgeni wao wa Kudumu na Tanzania kupata Chama Kipya cha Kushika Dola.
Zipigwe manually au kidijitali hakuna wa kuiangusha ccm na Rais Samia

Mwisho kura digital ndio rahisi kuzi hack
 
Ni wazi kuwa huenda nawe sasa umekichoka Chama chako cha CCM na sasa unataka kikae pembeni, kwani GENTAMYCINE nina uhakika endapo Kura za Uchaguzi Mkuu ujao ( 2025 ) zitapigwa 'Kidijitali' basi Saa 3 Asubuhi tu CCM itaanguka na Kizimkazi Paje Kisiwani Zanzibar itapata Mgeni wao wa Kudumu na Tanzania kupata Chama Kipya cha Kushika Dola.
Na ikawe hivyo mtumishi wa Mungu
 
Nyie ndio mtu akifungua duka la samaki nawe unaenda kufungua kibanda cha samaki nje ya duka lake
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikae pembeni kushudia mpambano
 
Back
Top Bottom