GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Idiot kwahiyo Uzi ukiwa tayari upo ndiyo unamzuia Mtu mwingine kuja nao kwa angle nyingine ya Kimjadala?Soma hapo chini kwenye similar discussions... Huo uzi tayari hupo
Nyie ndio mtu akifungua duka la samaki nawe unaenda kufungua kibanda cha samaki nje ya duka lakeIdiot kwahiyo Uzi ukiwa tayari upo ndiyo unamzuia Mtu mwingine kuja nao kwa angle nyingine ya Kimjadala?
Mwachie jamaa anataka uzi wake Wake uonekane bhnaa 🤣🤣🤣Idiot kwahiyo Uzi ukiwa tayari upo ndiyo unamzuia Mtu mwingine kuja nao kwa angle nyingine ya Kimjadala?
Hopeless.Nyie ndio mtu akifungua duka la samaki nawe unaenda kufungua kibanda cha samaki nje ya duka lake
Hajui kuwa GENTAMYCINE nina uwezo wa kuanzisha Mada hata 20 kwa Siku na zote zikachangamkiwa Kimjadala?Mwachie jamaa anataka uzi wake Wake uonekane bhnaa 🤣🤣🤣
Zipigwe manually au kidijitali hakuna wa kuiangusha ccm na Rais SamiaNi wazi kuwa huenda nawe sasa umekichoka Chama chako cha CCM na sasa unataka kikae pembeni, kwani GENTAMYCINE nina uhakika endapo Kura za Uchaguzi Mkuu ujao ( 2025 ) zitapigwa 'Kidijitali' basi Saa 3 Asubuhi tu CCM itaanguka na Kizimkazi Paje Kisiwani Zanzibar itapata Mgeni wao wa Kudumu na Tanzania kupata Chama Kipya cha Kushika Dola.
Na ikawe hivyo mtumishi wa MunguNi wazi kuwa huenda nawe sasa umekichoka Chama chako cha CCM na sasa unataka kikae pembeni, kwani GENTAMYCINE nina uhakika endapo Kura za Uchaguzi Mkuu ujao ( 2025 ) zitapigwa 'Kidijitali' basi Saa 3 Asubuhi tu CCM itaanguka na Kizimkazi Paje Kisiwani Zanzibar itapata Mgeni wao wa Kudumu na Tanzania kupata Chama Kipya cha Kushika Dola.
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikae pembeni kushudia mpambanoNyie ndio mtu akifungua duka la samaki nawe unaenda kufungua kibanda cha samaki nje ya duka lake