Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Hatari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sidhani kama ni yeye amesema hivyo..otherwise kuna tatizo sehemuKumbe kampeini zimeanza eeh ...soma hii👇
Mungu Mwenyezi tunamuomba tukuone ukisimama mwenyewe juu ya dharau na dhihaka hizi juu ya watu wako. (Zaburi 109.)Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine.
"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani anahesabu na nani anatangaza. Unajua kuna mbinu nyingi za uchaguzi, Kuna halali, nusu halali na haramu na zote zinaweza kutumika ilimradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe" alisema Nape.
Aliyesema hayo katika Soko la Kashai jana Julai 15 usiku alipoalikwa na Mbunge Byabato kushuhudia ramani na michoro ya Soko jipya la Kashai linalotarajiwa kujengwa.
Kasema kweli tupuKumbe kampeini zimeanza eeh ...soma hii👇
He is trying to organize Gen Z ya Tanzania.Hawa ndio wanatarajia kuharibu Amani ya NCHI na ndio wanaosababisha vijana wengi kutokupiga kura kwani hata wakipiga hazina maana yoyote.Ana nyege za watu kupindua serikali.
Ndiyo kawaida yao hao,halafu wanakwambia kuwa kuna TUME HURU YA UCHAGUZI.Hii mimi naona ni ajabu.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine.
"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani anahesabu na nani anatangaza. Unajua kuna mbinu nyingi za uchaguzi, Kuna halali, nusu halali na haramu na zote zinaweza kutumika ilimradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe" alisema Nape.
Aliyesema hayo katika Soko la Kashai jana Julai 15 usiku alipoalikwa na Mbunge Byabato kushuhudia ramani na michoro ya Soko jipya la Kashai linalotarajiwa kujengwa.
Sahihi kabisaNape kaongea ukweli wa moyoni na kile kinachofanyika ktk chaguzi.
Haiwezi kumgharamu na wala hakuitoa kwa bahati mbaya anajua hakuna atakachofanywaNAPE-KUNA MBINU NYINGI ZA USHINDI INATEGEMEA NANI ANATANGAZA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine.
"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani anahesabu na nani anatangaza. Unajua kuna mbinu nyingi za uchaguzi, Kuna halali, nusu halali na haramu na zote zinaweza kutumika ilimradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe" alisema Nape.
Aliyesema hayo katika Soko la Kashai jana Julai 15 usiku alipoalikwa na Mbunge Byabato kushuhudia ramani na michoro ya Soko jipya la Kashai linalotarajiwa kujengwa.
K
Itamgharimu lini mkuu?NAPE-KUNA MBINU NYINGI ZA USHINDI INATEGEMEA NANI ANATANGAZA