Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Kwa staili hii wezi wa mitandaoni wataongezeka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm imuite kwenye maadili amekosea sana.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine.
"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani anahesabu na nani anatangaza. Unajua kuna mbinu nyingi za uchaguzi, Kuna halali, nusu halali na haramu na zote zinaweza kutumika ilimradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe" alisema Nape.
Aliyesema hayo katika Soko la Kashai jana Julai 15 usiku alipoalikwa na Mbunge Byabato kushuhudia ramani na michoro ya Soko jipya la Kashai linalotarajiwa kujengwa.
Tulia.Ahahahahaha! Wageni wa JF watauamini huu mkwara! Ahahahahaha!!
Mungu anawaona.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine.
"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani anahesabu na nani anatangaza. Unajua kuna mbinu nyingi za uchaguzi, Kuna halali, nusu halali na haramu na zote zinaweza kutumika ilimradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe" alisema Nape.
Aliyesema hayo katika Soko la Kashai jana Julai 15 usiku alipoalikwa na Mbunge Byabato kushuhudia ramani na michoro ya Soko jipya la Kashai linalotarajiwa kujengwa.
Kosa kubwa sana.Eti nyie mliotembea naomba mtuambie , hivi kauli kama hii kwenye nchi za wenye akili timamu sio kosa la jinai?
Labda ww ndio ulimuhurumia.. usiweke umoja ktk kutetea madhalimu.Tulimhurumia alivyoburuzwa na Jiwe kumbe tulifanya kosa kubwa
You have no ability to think in the abstract.Watu gani hao? Hawa haaa wajinga wa hili Taifa? au tuazime kenya
Mpaka asubuhi bado atakuwa waziri basi nitaamini hakuna Rais
Acha mtu aongee kama Jambo halikuhusu kaa kimya.Jinenee mwenyewe na nafsi yako.
mmejipanga kufanyeje sheikh?Nape safari hii Hatutakubali, Nakuhakikishia kwamba Nchi utaipasua wewe na wenzako, hatutakubali ujinga tena, Waambie kabisa wanaokutuma
Safari hii Patachimbika
Wala usiogope! Muulize Mange Kimambi. Hana hamu nao hao. Mkwara mwingi mitandaoni, lakini D-Day ikifika, utacheka zaidi ya Standing Comedies za Kibongo!Tulia.
Mimi mwenyewe nimeogopa
Tumefilia pabaya sana.Hizi kauli zinapaswa kupingwa kwa nguvu zote, hata kama hizo mbinu huwa zinafanyika hazipaswi kutangazwa hadharani kama vile ni halali wakati ni haramu kwa mjibu WA Sheria na taratibu za uchaguzi. Huko ni kulewa madaraka, kulewa fedha za umma za masikini, serikali na Chama cha mapinduzi zinapaswa kuchukua hatua Kali za kinidhamu kwa kudhalilisha Sheria za uchaguzi na CCM kwa ujumla. Itashangaza kwa serikali na CCM kama vitafumbia macho kauli kama hizi, lazima awajibishwe, tunaandaa siasa gani Kwa vizazi vijavyo kwa kauli kama hizi, uko wapi utawala Bora? Kauli hizi ni uchafu na aibu kwa vyombo vinavyosimamia haki na Sheria.