Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa upumbavu wako hapaNAPE SIO TUME HURU YA UCHAGUZI NA NAPE SIO MSEMAJI WA CHAMA WALA SERIKALI . CCM INAAMINI KATIKA BOX LA KURA NA KURA YA MWANANCHI .
Hata, hivyo, kuna kosa gani alilofanya katika serikali hii!? 🤔...Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine.
"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani anahesabu na nani anatangaza. Unajua kuna mbinu nyingi za uchaguzi, Kuna halali, nusu halali na haramu na zote zinaweza kutumika ilimradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe" alisema Nape.
Aliyesema hayo katika Soko la Kashai jana Julai 15 usiku alipoalikwa na Mbunge Byabato kushuhudia ramani na michoro ya Soko jipya la Kashai linalotarajiwa kujengwa.
Kauli ya Chama ~ CCM yakataa maneno aliyosema Nape kuhusu ushindi wa kura unategemea na anayehesabu kura
Pia, utetezi wake: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza" ilikuwa ni ya utani
Acheni wizi wa kuraKusema ukweli hamna wa kumshinda mama Samia 2025. Fomu ni moja. Kazi kwenu wapinga maendeleo
Jana ameniambia hata mimi nikitaka nikagombee yeye atatenda maajabuAlishatamka juu ya bao la mkono. Mkadhania labda anaongelea masturbation aka punyeto.
Leo je?
Huyu Nape?Jana ameniambia hata mimi nikitaka nikagombee yeye atatenda maajabu
Hamna wizi uliotokea so far ndugu yangu wa kutokea upande wa pili . 2024 mjipange kweli kweli. 2025 ndio kabisa. Wananchi watawaacha mdomo wazi . Kelele ziko kwenu mtandaoni , ila kwa ground mambo yako different ambao ndio wengi wanaelewa ubora wa CCM . Sidhani kama nyie mko tayari kuishikiria hata ubunge viti 10 , mmechoka sana kwa sasa , hamtustui kabisa. MAMA NJIA NYEUPE . MITANO 5 .Acheni wizi wa kura
Hayo yamesemwa nje ya uchaguzi . Wakati haujafika na wala hayo yaliyosemwa hayajatendeka. Acheni siasa chafu. Mangapi yanaongelewa kwenye majukwaa yenu . MTAENDELEA KUSEMA VICHACHE ambavyo havina TIJA . nguvu wekezeni kwenye SERA BORA , acheni kufanya siasa za MATUKIO . wenzenu ngoma inazidi kusonga mbele . SAMIA NJIA NYEUPE 2025Nimesikitika saanaa,ila nchiii hiii mtu akiwanakinga serikalini anaweza ropoka lolote na raia wasipate Cha kufanya. Hii ilikua palepalee wangembakaa!
Hawa ngoma ngumu , wamebaki kupiga kelele za kueneza tu chuki kila ya leo . Wazee wa MATUKIO . MAJI YA SHINGO , CCM NDIO KWANZA IMEZALIWA UPYA , INA VIJANA WAPYA NA WENYE UPEO MPYA NA WA KISASA , CPA MAKALA siku za karibuni kasema CCM INAWALETEA VIONGOZI WAPYA NA BORA ZAIDI , KAZI KWENU WAZEE WA UFIPA .Wewe Kamanda wa Mbowe acha kupotosha umma
Huyuhuyu!!Huyu Nape?
Peke yako . Usiongelee nafsi za wengi . Mambo yako poa . Acha kuwakatisha watu tamaaCCM ikishinda tutafika 2030 tukiwa tumechoka sana
Wewe ni mwehu ulie hai, kukanyagwa Kwa demokrasia sio afya ya maendeleo katika nchiNAPE SIO TUME HURU YA UCHAGUZI NA NAPE SIO MSEMAJI WA CHAMA WALA SERIKALI . CCM INAAMINI KATIKA BOX LA KURA NA KURA YA MWANANCHI .
Ameitoa ili iweje sasa mkuuHaiwezi kumgharamu na wala hakuitoa kwa bahati mbaya anajua hakuna atakachofanywa