Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
Binafsi Sina chama ila sioni sisiemu kutuvusha kwenda maendeleo raia wanoyoyahitaji tofauti na wizii.Kwa kauli hii ya Nape nchi inahitaji mapinduzi inaweza isiwe Leo lakini Ipo siku tutapita huko na maendeleo yataonekanaa.Hayo yamesemwa nje ya uchaguzi . Wakati haujafika na wala hayo yaliyosemwa hayajatendeka. Acheni siasa chafu. Mangapi yanaongelewa kwenye majukwaa yenu . MTAENDELEA KUSEMA VICHACHE ambavyo havina TIJA . nguvu wekezeni kwenye SERA BORA , acheni kufanya siasa za MATUKIO . wenzenu ngoma inazidi kusonga mbele . SAMIA NJIA NYEUPE 2025