Pre GE2025 Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Binafsi Sina chama ila sioni sisiemu kutuvusha kwenda maendeleo raia wanoyoyahitaji tofauti na wizii.Kwa kauli hii ya Nape nchi inahitaji mapinduzi inaweza isiwe Leo lakini Ipo siku tutapita huko na maendeleo yataonekanaa.
 
sahau kabisa chama cha upinzani kushinda uchaguzi Tanzania kwa hii mifumo ya kisanii labda ije ibadilishwe
 
Wewe ni mwehu ulie hai, kukanyagwa Kwa demokrasia sio afya ya maendeleo katika nchi
Demokrasia ni kuwa na uhuru wa kufanya mengi ikiwemo kuongea kile unacho jisikia , uhuru huo unao,Nape kaongea kama yeye akiwa na watu wake sehemu hiyo , hayo maneno sio ya kila mwana ccm au Raisi au CHAMA AU SERIKALI AU TUME HURU YA UCHAGUZI . bado tunaamini kwenye uchaguzi ulio wa ukweli na haki na uwazi juu , hakuna shaka wala upinzani kuwa CCM NI MSHINDI PAKA SASA , watu ndio kwanza wanazidi kuielewa balaa. Mama Samia kaza happ hapo mama .
 
We Jamaa mpuuzi kweli,unatetea Nini wakati ndo mambo yaliyozoeleka. Au ukiwa sisiemu ndo kua mwehu Kila kitu unatetea.Kama unaijua democrasia sana kua shoga basi tukufukunyue.
 
We Jamaa mpuuzi kweli,unatetea Nini wakati ndo mambo yaliyozoeleka. Au ukiwa sisiemu ndo kua mwehu Kila kitu unatetea.Kama unaijua democrasia sana kua shoga basi tukufukunyue.
Makalla amesisitiza kuwa CCM haihitaji mbeleko na itashinda kutokana na rekodi nzuri ya kuwaletea wananchi maendeleo.
 
Ccm wasidhani wapo salama sana ,kama wanafikilia huu mchezo wajiandae pia kwamba taifa litaishia pabaya
 
Kauli ya NAPE ni hatari sana hata kama imekuwa ikifanyika hivyo. Wananchi bado wana hasira ya uchaguxi 2020 asifanye mchezo mama anarekebisha hali hiyo yeye anaturudisha huko. huyu hafai siyo kitu cha kujivunia kadamnasi. amemuharibia Byabato na ccm kwa ujumla. Awajibishwe pamoja na Makalla kukanusha.
 
Huyu akiwa Katibu wa itikadi na uenezi alitoa kauli ya
GOLI LA MKONO pia.
Hizi kauli hazina afya sana kwa Taifa letu,hata kama unafanya basi usitambie hadharani dhambi zako.


Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…