Pre GE2025 Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine.

"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani anahesabu na nani anatangaza. Unajua kuna mbinu nyingi za uchaguzi, Kuna halali, nusu halali na haramu na zote zinaweza kutumika ilimradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe" alisema Nape.
View attachment 3043863
Aliyesema hayo katika Soko la Kashai jana Julai 15 usiku alipoalikwa na Mbunge Byabato kushuhudia ramani na michoro ya Soko jipya la Kashai linalotarajiwa kujengwa.

Ndiyo Mawaziri wa Maza hao .... No wonder Magufuli aliwatema wenye akili kama hizi akaenda Chadema kutafuta watu.

Yaani hiki kiburi sasa kimezidi kimekuwa ni dharau .... Halafu kuna watu wapo hapo wanashangilia. Kweli MTAJI wa CCM ni UJINGA ....!!
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine.

"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani anahesabu na nani anatangaza. Unajua kuna mbinu nyingi za uchaguzi, Kuna halali, nusu halali na haramu na zote zinaweza kutumika ilimradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe" alisema Nape.

Aliyesema hayo katika Soko la Kashai jana Julai 15 usiku alipoalikwa na Mbunge Byabato kushuhudia ramani na michoro ya Soko jipya la Kashai linalotarajiwa kujengwa.
Mnafikiri Mungu anawekwa mfukoni? Haina shida. Bwana anaona, ipo siku atashuka.
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine.

"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani anahesabu na nani anatangaza. Unajua kuna mbinu nyingi za uchaguzi, Kuna halali, nusu halali na haramu na zote zinaweza kutumika ilimradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe" alisema Nape.

Aliyesema hayo katika Soko la Kashai jana Julai 15 usiku alipoalikwa na Mbunge Byabato kushuhudia ramani na michoro ya Soko jipya la Kashai linalotarajiwa kujengwa.
Huyu zwazwa hajaacha tuu upuuzi wake 😂😂

Goli la mkono
 
Aibu hii
 
Kauli hii siyo nzuri kwa mustakabali wa nchi. safari hii inaweza kutuletea hali inayotokea kenya. Rais usikubali hali hii ya NAPE zile 4R ni mwelekeo mzuri. Kauli hii inaweza kuwatia hasira wananchi.

Katika vipofu wa kisiasa hapa duniani,wapo Tanzania.
Viongozi wa Tanzania hua wanajisahau sana,wanaamini majeshi yatawalinda maisha Yao yote.
Lakini sio kweli.
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine.

"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani anahesabu na nani anatangaza. Unajua kuna mbinu nyingi za uchaguzi, Kuna halali, nusu halali na haramu na zote zinaweza kutumika ilimradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe" alisema Nape.

Aliyesema hayo katika Soko la Kashai jana Julai 15 usiku alipoalikwa na Mbunge Byabato kushuhudia ramani na michoro ya Soko jipya la Kashai linalotarajiwa kujengwa.
Nape hakopeshi maneno, anasema kavu kavu
 
Duh! Hawa ndiyo mawaziri mizigo!
 
Haya ni maneno ya kusema ukiwa na hawara yako au kimoyo moyo au ukiwa na washikaji zako mnavuta Bangi..., ila sio waziri mwenye dhamana tena kwenye kadamnasi
Huyu Jamaa amekosea sana ila maneno ya hivi yanaweza sababisha kufukuzwa hata Uwaziri.

Yanaondoa uaminifu wa Umma kwenye mchakato wa Uchaguzi,ikifaa Rais amfukuze kazi.
 
Leaders wetu wanakosa maarifa ya uongozi...wanafanya makosa ambayo kiongozi hapaswi kufanya..wakijirekebisha mambo yatakuwa fresh
1: J Slaa
2: Nawanda
3: Burundi
4: Vijisenti
5: Hela ya mboga
6: Nina mke mzuri kuliko wewe
N.k
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine.

"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani anahesabu na nani anatangaza. Unajua kuna mbinu nyingi za uchaguzi, Kuna halali, nusu halali na haramu na zote zinaweza kutumika ilimradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe" alisema Nape.

Aliyesema hayo katika Soko la Kashai jana Julai 15 usiku alipoalikwa na Mbunge Byabato kushuhudia ramani na michoro ya Soko jipya la Kashai

NAPE USIPOTUBU DHAMBI ZAKO NA KUTENGUA KAULI YAKO MBINGUNI HUTOENDA
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine.

"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani anahesabu na nani anatangaza. Unajua kuna mbinu nyingi za uchaguzi, Kuna halali, nusu halali na haramu na zote zinaweza kutumika ilimradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe" alisema Nape.

Aliyesema hayo katika Soko la Kashai jana Julai 15 usiku alipoalikwa na Mbunge Byabato kushuhudia ramani na michoro ya Soko jipya la Kashai linalotarajiwa kujengwa.
Huyu amelewa kvant na madaraka. Anajisifia kuwa mwizi wa kura!
 
Back
Top Bottom