Uchaguzi 2020 Nape Nnauye: Msinilaumu mimi, Sheria ya kupita bila kupingwa ilikuwepo kabla sijawa Mbunge

Uchaguzi 2020 Nape Nnauye: Msinilaumu mimi, Sheria ya kupita bila kupingwa ilikuwepo kabla sijawa Mbunge

Si umeambiwa ni zao la mbio za mwenge bwashee, nadhani ungehoji kama Mwandosya amewahi 'kukimbiza' mwenge maana mnasemaga mwenge 'hauruki' kijiji.
Hata Freeman walisema ni mdogo wake Makongoro!
 
Hata Freeman walisema ni mdogo wake Makongoro!
Haihitaji akili nyingi kung'amua hilo, kama Freeman ni mdogo wake Makongoro basi tukubali kuwa Mwalimu 'alipigiwa' maana huwezi kuwa na watoto wawili wenye kutofautiana kwa kila kitu.
 
Haihitaji akili nyingi kung'amua hilo, kama Freeman ni mdogo wake Makongoro basi tukubali kuwa Mwalimu 'alipigiwa' maana huwezi kuwa na watoto wawili wenye kutofautiana kwa kila kitu.
Freeman na Makongoro wanatofautiana nini?
 
Mbunge mteule wa jimbo la mtama huko Lindi Nape Nnauye amesema asilaumiwe yeye kwa kupitishwa bila kupingwa kwani sheria hiyo imekuwepo kabla yeye hajawa mbunge.

Zaidi ya hapo ni kuoneana wivu tu, ametweet Nape.

My take: Nape yuko sahihi yeye ni mnufaika wa sheria dhaifu.

Maendeleo hayana vyama!

Hakuna mtu anaemlaumu au anaemuonea wivu. Tatizo sio sheria bali jinsi sheria ilivyotumika. Mgombea mmoja anabambikiwa kesi ili asurudishe fomu. Mwingine anazuiwa kwa nguvu asirudishe fomu.

Yote haya yamefanyika bila kificho. Angekuwa ni mtu mwenye chembe ya uungwana angesimama kidete kuhakikisha waliodhulumiwa wanapewa haki yao ya kugombea.

Kwa kukubali na kuwananga walioporwa haki hiyo inaonyesha yeye ni complicit na mpango mzima

Amandla...
 
Mbunge mteule wa jimbo la mtama huko Lindi Nape Nnauye amesema asilaumiwe yeye kwa kupitishwa bila kupingwa kwani sheria hiyo imekuwepo kabla yeye hajawa mbunge.

Zaidi ya hapo ni kuoneana wivu tu, ametweet Nape.

My take: Nape yuko sahihi yeye ni mnufaika wa sheria dhaifu.

Maendeleo hayana vyama!
Nawasiwasi na yeye hatadhamani kulikuw na kivuli napicha lakini mtuhakupita bilakupigiwa kura
 
Je Hussein Mwinyi kwao ilikuwa Mkuranga?
Kunyamaza saa zingine huwa kunasaidia kuliko kufungua kinywa...
Sasa Hussein Ally Hassan Mwinyi na Nape Nauye Mwandosya wapi na wapi?

Uwe unaelewa bwashee usiwe Wakukurupuka futuhi!
 
Sasa Hussein Ally Hassan Mwinyi na Nape Nauye Mwandosya wapi na wapi?

Uwe unaelewa bwashee usiwe Wakukurupuka futuhi!
Mtu akikutazama mavazi akuona kama muungwana vile ila upanuapo kinywa anakutambua vema u nani bwashee!!!
Hata Hapi anatambulika kwa jina la ujombani seuze mwana wa mpiga kinanda!!?
 
Mbunge mteule wa jimbo la mtama huko Lindi Nape Nnauye amesema asilaumiwe yeye kwa kupitishwa bila kupingwa kwani sheria hiyo imekuwepo kabla yeye hajawa mbunge...

Uchaguzi unaendeshwa kwa sheria kama zilivyo sasa hata awamu ya tano wamezikuta sheria hawakutunga wao kupita bila kupingwa ni mojawapo
 
Attachments

Back
Top Bottom