Uchaguzi 2020 Nape Nnauye: Msinilaumu mimi, Sheria ya kupita bila kupingwa ilikuwepo kabla sijawa Mbunge

Nape ni muasisi wa goli la mkono. Haya sasa Kaka Robati anaungana na Wapemba kwenye kuandika wosia subini wakinukishe.
 
UPUUZI MTUPU! Hata enzi za chama kimoja hakuna mgombea aliyepita bila kupingwa eti kwa kuwa mwingine KAENGULIWA kwa pingamizi.

 
Hatutegemei chochote kile zaidi ya Uchaguzi huru na wa haki na kura kuhesabiwa hadharani. Kumbuka kwamba siku zote HAKI huinua Taifa.
Hizi ndizo hoja murua mkuu.umejibu vzr
 
Kuuana watu kulikiwapo kabla Nape hajazaliwa.

Hivyo je, ni halali kwake kuua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…