Pre GE2025 Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nape una haki ya kutetea kwa sababu unaishi na kulindwa kama Mzanzibari
 
Lissu ni Mwananchi shupavu na ajazubaazubaaa japokuwa simpedi lakini sometimes anatoa madini.2525 TWENDE NA CCM NA MAMA OYEEEE.
 
Wewe hoja yako hapa ni nini? Mbona hueleweki?
 
unashindwa kusema tuwalaani majizi yanayotuibia kila siku kwa mgongo wa uongozi unasema tumlaani anayetusanua! shame kwako. uwizi umeanza tena uko serikali hayo ndio unadhani tunapenda au
 
Wanaomsikiliza Lissu wana akili sana, kwani wakisikiliza ndio watajua anachosema ni upuuzi au la. Halafu yeye mwenyewe alijuaje kama ni upuuzi bila kumsikiliza kupitia media?!!
 
Amesema hivi:

"Watanzania tusikubali upuuzi huu, na mimi nitawashangaa watanzania waliozaliwa wakati wa Muungano hata wanaokwenda kumsikiliza mpuuzi huyu, tumkemee, tumtenge, tumlaani" amesema Nape."

Mbona na yeye anabagua Watanzania kwa umri?
 
Nilishasema siku nyingi sana ,mwafrika mweusi kumpa uhuru kwa kisingizio cha demkrasia si sahihi.

Hawa wahuni waliojazana kwenye hivi vyama vya upinzani ni hatari saana kuwaacha waropoke wanachojisikia kuropoka aisee.
Acha kuita watu kuwa ni wahuni, walioko huko wana haki sawa na chawa wa ccm. Alichokisema Lisu wewe pinga kwa hoja ili hao uliowaita wahuni watofautishe pumba na mchele. Vinginevyo huna hoja.
 
TL are so bright, anafanya hayo yote si kwa kukosea hata kidogo ni kwa dhamira yake madhubuti, maana asipofanya hivyo permit zake zitakosa nguvu hasa juu ya posho ambazo huzipata, the ignorant kutambua hili ni vigumu sana, michafuko hii itaendelea mpaka pale pale serekali itakapochukia na ku take actions, na hilo likitokea atakimbilia fasta kwa mabwana zake, kujisitiri huku akihema kwelikweli, kuhitaji msaada baada ya maisha yake kujiona yapo hatarini.

The best way ni kumpuuza na sioni sababu hata ya viongozi wa chama chetu kumjibu lolote kichaa huyu, "" just listening him and ignore! Once!""western puppets!

N. B, Hofu yangu ilipo ni asije kosa sababu madhubuti mwishowe akajitengenezea tukio litakalokuwa na dhamira ya kuichafua nchi yetu nzuri.
 
Kila mtu hupata mkate wake anapotimiza majukumu yake, hana utofauti na wewe.Na uzuri ni kuwa yote anayoyasema ni ukweli.

tuongee ukweli hapa,inakuwaje umupe mwekezaji bandari kwa uwekezaji wa trillion 1 huku mapato hayo hayo ya bandari kwa Mwaka ni trillion 1???
 
Paragraph yako sijaielewa mkuu. Mwekezaji atawekeza Trilion moja, for facilitation and improvement, ili mapato yawe mengi zaidi, ebu fafanua mkuu, kwenye mambo ya maana hatuwezi kupinga kama watoto wadogo!
 
Lisu anawaamsha watanzania wengi waliolala kama wewe, hongera sana Mh. Lisu kwa ujasiri mkubwa!
 
Ukirudia kusoma ulichoandika taratibu utagundua ni ujinga mtupu.
 
Ukirudia kusoma ulichoandika taratibu utagundua ni ujinga mtupu.
Soma kwa makini utaelewa vizuri nia safi ya serekali yetu.
TL-hawezi acha kutibua maana ndipo ugali wake ulipo na posho zake!, you shall came to know later!
 
Hivi hii nchi imewahi kusimama? Why rais anaekua madarakani huonesha kwamba waliomtangulia hawakufanya kitu ? Machawa mmeliaribu sana taifa hili, na kama ndivyo ilivyo makosa ya nani kama sio ccm , nasema Mungu aifuta ccm kiutawala tunza hii .

Kazi kununa ma v8 na kuishi maisha ya anasa huku wananchi wakipata maisha magum, Nyerere angekua na tamaa za hivi mpaka mda huu tusingekua na kitu , sasa mnaokuja ndo mnaona kuuza kila kitu
 
Huyu hyena sijuwi Jiwe alimkosaje??? ili takiwa amalizwe tuu na basitola

View: https://youtu.be/WqAGTpuRFSg?si=gzlRkgQQooAD6Qjq
 
Kimantiki Nape hana hoja na hana haki ya kumuita Tundu Lissu mpuuzi.
 
Kuna vitu vingine lazima ujiachie tu ,ndo jambo anafanya mh lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…