Pre GE2025 Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari.

Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na kila mwenye akili timamu kwani ni hoja za watu waliofilisika kisiasa.

"Watanzania tusikubali upuuzi huu, na mimi nitawashangaa watanzania waliozaliwa wakati wa Muungano hata wanaokwenda kumsikiliza mpuuzi huyu, tumkemee, tumtenge, tumlaani" amesema Nape.

Amebainisha ikiwa watanzania wataendelea kuangalia vitendo hivi vya ukosoaji kwa Rais kwa kutumia jinsia, kabila au sehemu anakotoka watakuwa hawaitendei haki nchi.

Ameongeza, "Ni Rais huyu ndiye amesema andamaneni, polisi kawalindeni, na leo walikuwa wanaandamana hapa. Wamelindwa na Polisi, wamesindikizwa walipoenda, wamesababisha foleni dodoma hapa, magari yamesimamishwa ili wao waandamane, kwa uungwana wa huyu mama anayemtukana"

Pia soma:

Nape una haki ya kutetea kwa sababu unaishi na kulindwa kama Mzanzibari
 
Lissu ni Mwananchi shupavu na ajazubaazubaaa japokuwa simpedi lakini sometimes anatoa madini.2525 TWENDE NA CCM NA MAMA OYEEEE.
 
Acha uhayawani wako na ujinga hapa wewe.vinini vimeuzwa.Taifa letu ni moja na watanzania ni wamoja .msituletee ujinga wenu wa kutaka kupandikiza ubaguzi baada ya kuwa mmeshindwa kuwashawishi wananchi kwa hoja ili wawaungeni mkono.

Vituo vya afya, hospitali za wilaya, mikoa, kanda na rufaa zilizojengwa hapa Bara kwa wingi sana, kwanini zisingejengwa Zanzibar? Km 237.9 za barabarani za njia nne za lami kutoka igawa mkoani Mbeya mpaka Tunduma mkoani Songwe kwanini zisijengwe Zanzibar kwa kuwa Rais anatokea Zanzibar? Vipi kuhusu maelfu ya ajira yaliyotolewa na kupewa vijana? Vipi kuhusu kupandishwa kwa mishahara kwa watumishi wa umma? Kwanini kumefanyika na kutolewa pesa? Pesa hizo si zingepelekwa basi Zanzibar?

Kwanini CHADEMA hamna akili kiasi hicho? Mnatumia ujumbe gani kwa viongozi wenu wanaotoka zanzibar na wapo ndani ya CHADEMA? Hamtakwenda kuomba kura Zanzibar uchaguzi ujao?
Wewe hoja yako hapa ni nini? Mbona hueleweki?
 
unashindwa kusema tuwalaani majizi yanayotuibia kila siku kwa mgongo wa uongozi unasema tumlaani anayetusanua! shame kwako. uwizi umeanza tena uko serikali hayo ndio unadhani tunapenda au
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari.

Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na kila mwenye akili timamu kwani ni hoja za watu waliofilisika kisiasa.

"Watanzania tusikubali upuuzi huu, na mimi nitawashangaa watanzania waliozaliwa wakati wa Muungano hata wanaokwenda kumsikiliza mpuuzi huyu, tumkemee, tumtenge, tumlaani" amesema Nape.

Amebainisha ikiwa watanzania wataendelea kuangalia vitendo hivi vya ukosoaji kwa Rais kwa kutumia jinsia, kabila au sehemu anakotoka watakuwa hawaitendei haki nchi.

Ameongeza, "Ni Rais huyu ndiye amesema andamaneni, polisi kawalindeni, na leo walikuwa wanaandamana hapa. Wamelindwa na Polisi, wamesindikizwa walipoenda, wamesababisha foleni dodoma hapa, magari yamesimamishwa ili wao waandamane, kwa uungwana wa huyu mama anayemtukana"

Pia soma:

Wanaomsikiliza Lissu wana akili sana, kwani wakisikiliza ndio watajua anachosema ni upuuzi au la. Halafu yeye mwenyewe alijuaje kama ni upuuzi bila kumsikiliza kupitia media?!!
 
Amesema hivi:

"Watanzania tusikubali upuuzi huu, na mimi nitawashangaa watanzania waliozaliwa wakati wa Muungano hata wanaokwenda kumsikiliza mpuuzi huyu, tumkemee, tumtenge, tumlaani" amesema Nape."

Mbona na yeye anabagua Watanzania kwa umri?
 
Nilishasema siku nyingi sana ,mwafrika mweusi kumpa uhuru kwa kisingizio cha demkrasia si sahihi.

Hawa wahuni waliojazana kwenye hivi vyama vya upinzani ni hatari saana kuwaacha waropoke wanachojisikia kuropoka aisee.
Acha kuita watu kuwa ni wahuni, walioko huko wana haki sawa na chawa wa ccm. Alichokisema Lisu wewe pinga kwa hoja ili hao uliowaita wahuni watofautishe pumba na mchele. Vinginevyo huna hoja.
 
TL are so bright, anafanya hayo yote si kwa kukosea hata kidogo ni kwa dhamira yake madhubuti, maana asipofanya hivyo permit zake zitakosa nguvu hasa juu ya posho ambazo huzipata, the ignorant kutambua hili ni vigumu sana, michafuko hii itaendelea mpaka pale pale serekali itakapochukia na ku take actions, na hilo likitokea atakimbilia fasta kwa mabwana zake, kujisitiri huku akihema kwelikweli, kuhitaji msaada baada ya maisha yake kujiona yapo hatarini.

The best way ni kumpuuza na sioni sababu hata ya viongozi wa chama chetu kumjibu lolote kichaa huyu, "" just listening him and ignore! Once!""western puppets!

N. B, Hofu yangu ilipo ni asije kosa sababu madhubuti mwishowe akajitengenezea tukio litakalokuwa na dhamira ya kuichafua nchi yetu nzuri.
 
Kila mtu hupata mkate wake anapotimiza majukumu yake, hana utofauti na wewe.Na uzuri ni kuwa yote anayoyasema ni ukweli.

tuongee ukweli hapa,inakuwaje umupe mwekezaji bandari kwa uwekezaji wa trillion 1 huku mapato hayo hayo ya bandari kwa Mwaka ni trillion 1???
 
Paragraph yako sijaielewa mkuu. Mwekezaji atawekeza Trilion moja, for facilitation and improvement, ili mapato yawe mengi zaidi, ebu fafanua mkuu, kwenye mambo ya maana hatuwezi kupinga kama watoto wadogo!
 
TL are so bright, anafanya hayo yote si kwa kukosea hata kidogo ni kwa dhamira yake madhubuti, maana asipofanya hivyo permit zake zitakosa nguvu hasa juu ya posho ambazo huzipata, the ignorant kutambua hili ni vigumu sana, michafuko hii itaendelea mpaka pale pale serekali itakapochukia na ku take actions, na hilo likitokea atakimbilia fasta kwa mabwana zake, kujisitiri huku akihema kwelikweli, kuhitaji msaada baada ya maisha yake kujiona yapo hatarini,
The best way ni kumpuuza na sioni sababu hata ya viongozi wa chama chetu kumjibu lolote kichaa huyu, "" just listening him and ignore! Once!""western puppets!
N. B, Hofu yangu ilipo ni asije kosa sababu madhubuti mwishowe akajitengenezea tukio litakalokuwa na dhamira ya kuichafua nchi yetu nzuri.
Lisu anawaamsha watanzania wengi waliolala kama wewe, hongera sana Mh. Lisu kwa ujasiri mkubwa!
 
TL are so bright, anafanya hayo yote si kwa kukosea hata kidogo ni kwa dhamira yake madhubuti, maana asipofanya hivyo permit zake zitakosa nguvu hasa juu ya posho ambazo huzipata, the ignorant kutambua hili ni vigumu sana, michafuko hii itaendelea mpaka pale pale serekali itakapochukia na ku take actions, na hilo likitokea atakimbilia fasta kwa mabwana zake, kujisitiri huku akihema kwelikweli, kuhitaji msaada baada ya maisha yake kujiona yapo hatarini,
The best way ni kumpuuza na sioni sababu hata ya viongozi wa chama chetu kumjibu lolote kichaa huyu, "" just listening him and ignore! Once!""western puppets!
N. B, Hofu yangu ilipo ni asije kosa sababu madhubuti mwishowe akajitengenezea tukio litakalokuwa na dhamira ya kuichafua nchi yetu nzuri.
Ukirudia kusoma ulichoandika taratibu utagundua ni ujinga mtupu.
 
Soma kwa makini utaelewa vizuri nia safi ya serekali yetu.
TL-hawezi acha kutibua maana ndipo ugali wake ulipo na posho zake!, you shall came to know later!
 
Maandishi ya taadhari haya,we know in and out,
Nitahadithi kidogo,
Mbuga zetu na mapori tengefu zilikuwa zinakwenda kuharibika vibaya sana na kugeuka makazi na Miji na majiji, weakness ilishafanywa na serekali zilizopita, the same kuwaachia watu wajenge mabondeni baada ya maafa ndipo unapokuja kuamka, let back, kuhamisha Miji na makazi yaliyokwisha jengwa mbugani ikawa ni very expensive practise, maana huwezi kumfukuza binadamu kama mbwa, ndipo akatafutwa preserver, ambaye atagharamia zoezi hili, it was so costful to our Govt, we preserve our environment for future generation, sasa watu walitaka vizazi vije kuambiwa hapa ilikuwa ngorongoro!
Hivi hii nchi imewahi kusimama? Why rais anaekua madarakani huonesha kwamba waliomtangulia hawakufanya kitu ? Machawa mmeliaribu sana taifa hili, na kama ndivyo ilivyo makosa ya nani kama sio ccm , nasema Mungu aifuta ccm kiutawala tunza hii .

Kazi kununa ma v8 na kuishi maisha ya anasa huku wananchi wakipata maisha magum, Nyerere angekua na tamaa za hivi mpaka mda huu tusingekua na kitu , sasa mnaokuja ndo mnaona kuuza kila kitu
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari.

Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na kila mwenye akili timamu kwani ni hoja za watu waliofilisika kisiasa.

"Watanzania tusikubali upuuzi huu, na mimi nitawashangaa watanzania waliozaliwa wakati wa Muungano hata wanaokwenda kumsikiliza mpuuzi huyu, tumkemee, tumtenge, tumlaani" amesema Nape.

Amebainisha ikiwa watanzania wataendelea kuangalia vitendo hivi vya ukosoaji kwa Rais kwa kutumia jinsia, kabila au sehemu anakotoka watakuwa hawaitendei haki nchi.

Ameongeza, "Ni Rais huyu ndiye amesema andamaneni, polisi kawalindeni, na leo walikuwa wanaandamana hapa. Wamelindwa na Polisi, wamesindikizwa walipoenda, wamesababisha foleni dodoma hapa, magari yamesimamishwa ili wao waandamane, kwa uungwana wa huyu mama anayemtukana"

Pia soma:

Huyu hyena sijuwi Jiwe alimkosaje??? ili takiwa amalizwe tuu na basitola

View: https://youtu.be/WqAGTpuRFSg?si=gzlRkgQQooAD6Qjq
 
Kimantiki Nape hana hoja na hana haki ya kumuita Tundu Lissu mpuuzi.
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari.

Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na kila mwenye akili timamu kwani ni hoja za watu waliofilisika kisiasa.

"Watanzania tusikubali upuuzi huu, na mimi nitawashangaa watanzania waliozaliwa wakati wa Muungano hata wanaokwenda kumsikiliza mpuuzi huyu, tumkemee, tumtenge, tumlaani" amesema Nape.

Amebainisha ikiwa watanzania wataendelea kuangalia vitendo hivi vya ukosoaji kwa Rais kwa kutumia jinsia, kabila au sehemu anakotoka watakuwa hawaitendei haki nchi.

Ameongeza, "Ni Rais huyu ndiye amesema andamaneni, polisi kawalindeni, na leo walikuwa wanaandamana hapa. Wamelindwa na Polisi, wamesindikizwa walipoenda, wamesababisha foleni dodoma hapa, magari yamesimamishwa ili wao waandamane, kwa uungwana wa huyu mama anayemtukana"
Pia soma:
Kuna vitu vingine lazima ujiachie tu ,ndo jambo anafanya mh lissu
 
Back
Top Bottom