Kumbe zero brain mpo wengiee..!TL Ni lazima atumie kila aina ya laghai kwa wakati huu, kwani njia zote ambazo ndizo upenyo wa kukosoa zimezibwa, hawezi kukosa tahira za kumsikiliza kupata tumaini lisilokuwepo!
N. B,
CCM IENDELEE KUONDOSHA KERO ZOTE ZA WATANZANIA BARA NA VISIWANI.
Upo sahihiHatuwezi kumlaani hajatukosea labda umlaani wewe.....wote mnatafutia watoto zenu chakula.......kama sisi tunapotoka Asubuhi......sisi tumlaani?!!! Baadaye mnakwenda kucheza Golf,mnakunywa kahawa nakucheza Chess.......jamani nimewaza Kwa sauti tu nisamehewe.
Jitathmini, TL ni msomi wa kiwango cha juu sana.TL Ni lazima atumie kila aina ya laghai kwa wakati huu, kwani njia zote ambazo ndizo upenyo wa kukosoa zimezibwa, hawezi kukosa tahira za kumsikiliza kupata tumaini lisilokuwepo!
N. B,
CCM IENDELEE KUONDOSHA KERO ZOTE ZA WATANZANIA BARA NA VISIWANI.
Aache blabla ajibu hojaWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari.
Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na kila mwenye akili timamu kwani ni hoja za watu waliofilisika kisiasa.
"Watanzania tusikubali upuuzi huu, na mimi nitawashangaa watanzania waliozaliwa wakati wa Muungano hata wanaokwenda kumsikiliza mpuuzi huyu, tumkemee, tumtenge, tumlaani" amesema Nape.
Amebainisha ikiwa watanzania wataendelea kuangalia vitendo hivi vya ukosoaji kwa Rais kwa kutumia jinsia, kabila au sehemu anakotoka watakuwa hawaitendei haki nchi.
Ameongeza, "Ni Rais huyu ndiye amesema andamaneni, polisi kawalindeni, na leo walikuwa wanaandamana hapa. Wamelindwa na Polisi, wamesindikizwa walipoenda, wamesababisha foleni dodoma hapa, magari yamesimamishwa ili wao waandamane, kwa uungwana wa huyu mama anayemtukana"
Pia soma:
Ukiamgalia body language ya Samia utajua kuwa yeye binafsi anaona kuendelea kuwa Rais ni mzigo mzito kwake angependelea apumzike lakini kuna watu wanafaidika kwa Samia kuendelea kuwa Rais na wao ndio wanaomshinikiza aendelee ; wakiongozwa na Vasco Dagama kaka wa Msoga!Samia angekua anajielewa mwakani angepumzika tu
Wamwambie Nape kuwa,atakae mlaani Lisu atalaaniwa,na atakae mbariki atabarikiwa.Nape tambua kwamba Lissu siyo Lowassa
Kuokoa natural resources ni operasheni, mwenyeakili hawezi vumilia kuona mbuga ikigeuka mji huku ukijengwa makazi ya kudumu.
#Elewa hili kwanza,then jipime akili yako ipo sawa.
Badala ya kumshambulia huyo Lissu, alitakiwa atuambie sababu hasa ya serikali kuwaondoa hao Wamasai kwenye ardhi yao ya asili na kuwapeleka Handeni.
Kwanini bandari za zanzibar hakuziuza kwa waarabu? wazaznzibari hawataki mapesa ya waarabu. Una akili za uchawa
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari.
Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na kila mwenye akili timamu kwani ni hoja za watu waliofilisika kisiasa.
"Watanzania tusikubali upuuzi huu, na mimi nitawashangaa watanzania waliozaliwa wakati wa Muungano hata wanaokwenda kumsikiliza mpuuzi huyu, tumkemee, tumtenge, tumlaani" amesema Nape.
Amebainisha ikiwa watanzania wataendelea kuangalia vitendo hivi vya ukosoaji kwa Rais kwa kutumia jinsia, kabila au sehemu anakotoka watakuwa hawaitendei haki nchi.
Ameongeza, "Ni Rais huyu ndiye amesema andamaneni, polisi kawalindeni, na leo walikuwa wanaandamana hapa. Wamelindwa na Polisi, wamesindikizwa walipoenda, wamesababisha foleni dodoma hapa, magari yamesimamishwa ili wao waandamane, kwa uungwana wa huyu mama anayemtukana"
Pia soma:
Wewe jinga kabisa,Lissu yupo sahihiKwa hakika Lissu anapaswa kutengwa na kulaaniwa sana na kukemewa kwa nguvu zote na watanzania wote wenye mapenzi mema na Taifa letu, kwa kuendekeza tabia yake ya kutoa maneno yenye kuchochea ubaguzi.
Mdomo wa Lissu haunaga adabu wala staha wala hekima.anazungumzaga vitu visivyoendana na umri wake ni mtu wa kuropoka ropoka tu utafikiri mgonjwa.
Anashindwa kujenga hoja akaeleweka badala yake anakimbilia kujenga chuki na ubaguzi tu wa kijinga jinga .akifikiri ndio njia ya kupata kura za wananchi.
Japo mimi ni mwanaccm lakini ni Bora nimsikilize Lisu kuliko.wauza Bandari na ardhi yetu kwa waarabu!Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari.
Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na kila mwenye akili timamu kwani ni hoja za watu waliofilisika kisiasa.
"Watanzania tusikubali upuuzi huu, na mimi nitawashangaa watanzania waliozaliwa wakati wa Muungano hata wanaokwenda kumsikiliza mpuuzi huyu, tumkemee, tumtenge, tumlaani" amesema Nape.
Amebainisha ikiwa watanzania wataendelea kuangalia vitendo hivi vya ukosoaji kwa Rais kwa kutumia jinsia, kabila au sehemu anakotoka watakuwa hawaitendei haki nchi.
Ameongeza, "Ni Rais huyu ndiye amesema andamaneni, polisi kawalindeni, na leo walikuwa wanaandamana hapa. Wamelindwa na Polisi, wamesindikizwa walipoenda, wamesababisha foleni dodoma hapa, magari yamesimamishwa ili wao waandamane, kwa uungwana wa huyu mama anayemtukana"
Pia soma:
Kumbe wewe unaingiza kipato kupitia uchawa wako! Hongera endelea kukesha humu JF.Wewe la kwako lipoje? Mwanaume mzima tangia lini ukaanza kuangalia vichwa vya wanaume wenzako badala ya kufanya kazi ujipatie kipato?