Pre GE2025 Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
TL Ni lazima atumie kila aina ya laghai kwa wakati huu, kwani njia zote ambazo ndizo upenyo wa kukosoa zimezibwa, hawezi kukosa tahira za kumsikiliza kupata tumaini lisilokuwepo!
N. B,
CCM IENDELEE KUONDOSHA KERO ZOTE ZA WATANZANIA BARA NA VISIWANI.
Kumbe zero brain mpo wengiee..!
 
Hatuwezi kumlaani hajatukosea labda umlaani wewe.....wote mnatafutia watoto zenu chakula.......kama sisi tunapotoka Asubuhi......sisi tumlaani?!!! Baadaye mnakwenda kucheza Golf,mnakunywa kahawa nakucheza Chess.......jamani nimewaza Kwa sauti tu nisamehewe.
Upo sahihi
 
TL Ni lazima atumie kila aina ya laghai kwa wakati huu, kwani njia zote ambazo ndizo upenyo wa kukosoa zimezibwa, hawezi kukosa tahira za kumsikiliza kupata tumaini lisilokuwepo!
N. B,
CCM IENDELEE KUONDOSHA KERO ZOTE ZA WATANZANIA BARA NA VISIWANI.
Jitathmini, TL ni msomi wa kiwango cha juu sana.
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari.

Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na kila mwenye akili timamu kwani ni hoja za watu waliofilisika kisiasa.

"Watanzania tusikubali upuuzi huu, na mimi nitawashangaa watanzania waliozaliwa wakati wa Muungano hata wanaokwenda kumsikiliza mpuuzi huyu, tumkemee, tumtenge, tumlaani" amesema Nape.

Amebainisha ikiwa watanzania wataendelea kuangalia vitendo hivi vya ukosoaji kwa Rais kwa kutumia jinsia, kabila au sehemu anakotoka watakuwa hawaitendei haki nchi.

Ameongeza, "Ni Rais huyu ndiye amesema andamaneni, polisi kawalindeni, na leo walikuwa wanaandamana hapa. Wamelindwa na Polisi, wamesindikizwa walipoenda, wamesababisha foleni dodoma hapa, magari yamesimamishwa ili wao waandamane, kwa uungwana wa huyu mama anayemtukana"
Pia soma:
Aache blabla ajibu hoja
Waitishe mdahalo tuone kama ana cha kujibu
 
Ubaguzi ni laana watanzania wanajielewa hatudanganyiki wala kuikaribisha laana hiyo ufe nayo mwenyewe.
 
Kwani lazima tuungane kwa aina hii ya muungano?
Huu muungano ni wa hila. Iitishwe kura ya maoni tuamue na hoja ifungwe
 
Samia angekua anajielewa mwakani angepumzika tu
Ukiamgalia body language ya Samia utajua kuwa yeye binafsi anaona kuendelea kuwa Rais ni mzigo mzito kwake angependelea apumzike lakini kuna watu wanafaidika kwa Samia kuendelea kuwa Rais na wao ndio wanaomshinikiza aendelee ; wakiongozwa na Vasco Dagama kaka wa Msoga!
 
Kuokoa natural resources ni operasheni, mwenyeakili hawezi vumilia kuona mbuga ikigeuka mji huku ukijengwa makazi ya kudumu.
#Elewa hili kwanza,then jipime akili yako ipo sawa.

Wewe bwege, kufukuzwa Wamasai na kupewa waarabu kufanya ujangili ndio kuokoa natural resouces? Naona upo kwenye dili unatetea kuhamisha wanyama wengi uarabuni na kuua wanyama wengi kwa dau dola 20,000 kwa kichwa. Lazima utakuwepo kwenye huu upigaji.
 
Badala ya kumshambulia huyo Lissu, alitakiwa atuambie sababu hasa ya serikali kuwaondoa hao Wamasai kwenye ardhi yao ya asili na kuwapeleka Handeni.
maasaiwahandeni-jpeg.2977902
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari.

Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na kila mwenye akili timamu kwani ni hoja za watu waliofilisika kisiasa.

"Watanzania tusikubali upuuzi huu, na mimi nitawashangaa watanzania waliozaliwa wakati wa Muungano hata wanaokwenda kumsikiliza mpuuzi huyu, tumkemee, tumtenge, tumlaani" amesema Nape.

Amebainisha ikiwa watanzania wataendelea kuangalia vitendo hivi vya ukosoaji kwa Rais kwa kutumia jinsia, kabila au sehemu anakotoka watakuwa hawaitendei haki nchi.

Ameongeza, "Ni Rais huyu ndiye amesema andamaneni, polisi kawalindeni, na leo walikuwa wanaandamana hapa. Wamelindwa na Polisi, wamesindikizwa walipoenda, wamesababisha foleni dodoma hapa, magari yamesimamishwa ili wao waandamane, kwa uungwana wa huyu mama anayemtukana"
Pia soma:

Utakemeaje ukweli Nape🤔
 
Kwa hakika Lissu anapaswa kutengwa na kulaaniwa sana na kukemewa kwa nguvu zote na watanzania wote wenye mapenzi mema na Taifa letu, kwa kuendekeza tabia yake ya kutoa maneno yenye kuchochea ubaguzi.

Mdomo wa Lissu haunaga adabu wala staha wala hekima.anazungumzaga vitu visivyoendana na umri wake ni mtu wa kuropoka ropoka tu utafikiri mgonjwa.

Anashindwa kujenga hoja akaeleweka badala yake anakimbilia kujenga chuki na ubaguzi tu wa kijinga jinga .akifikiri ndio njia ya kupata kura za wananchi.
Wewe jinga kabisa,Lissu yupo sahihi
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari.

Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na kila mwenye akili timamu kwani ni hoja za watu waliofilisika kisiasa.

"Watanzania tusikubali upuuzi huu, na mimi nitawashangaa watanzania waliozaliwa wakati wa Muungano hata wanaokwenda kumsikiliza mpuuzi huyu, tumkemee, tumtenge, tumlaani" amesema Nape.

Amebainisha ikiwa watanzania wataendelea kuangalia vitendo hivi vya ukosoaji kwa Rais kwa kutumia jinsia, kabila au sehemu anakotoka watakuwa hawaitendei haki nchi.

Ameongeza, "Ni Rais huyu ndiye amesema andamaneni, polisi kawalindeni, na leo walikuwa wanaandamana hapa. Wamelindwa na Polisi, wamesindikizwa walipoenda, wamesababisha foleni dodoma hapa, magari yamesimamishwa ili wao waandamane, kwa uungwana wa huyu mama anayemtukana"
Pia soma:
Japo mimi ni mwanaccm lakini ni Bora nimsikilize Lisu kuliko.wauza Bandari na ardhi yetu kwa waarabu!
 
Wewe la kwako lipoje? Mwanaume mzima tangia lini ukaanza kuangalia vichwa vya wanaume wenzako badala ya kufanya kazi ujipatie kipato?
Kumbe wewe unaingiza kipato kupitia uchawa wako! Hongera endelea kukesha humu JF.
Hata hivyo Lissu hayuko kwenye viwango vyako wewe uliyeshindwa darasa la saba.
 
Kila mtu ana haki ya kusikikizwa, Watanzania tutaendelea kusikikizwa kila upande ila tutabaki na maamuzi yetu sahihi. Kuwakataza wananchi kusikikizwa ni kuwanyima haki ya kupata maoni, vigezo na ushahidi wa kufanya maamuzi.
 
Back
Top Bottom