Pre GE2025 Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe bwabwa kaa kimya. Huyo Mbwa anayeitwa Nepi anabwekabweka TU.
 
Nilishasema siku nyingi sana ,mwafrika mweusi kumpa uhuru kwa kisingizio cha demkrasia si sahihi.

Hawa wahuni waliojazana kwenye hivi vyama vya upinzani ni hatari saana kuwaacha waropoke wanachojisikia kuropoka aisee.
Kwa hiyo hao Mbwa wanaiouza nchi kwa mabwana zao waarabu na wazungu migodini ndio wenye haki ya kuendelea kuwatia madole waTz!?
 
Tusikemee chama la majizi ya kura, tukemee mtu anayeongelea nchi yetu kuuzwa na majizi na muungano wa shuruti?!
 
Ona huyu honey C
 
Nilishasema siku nyingi sana ,mwafrika mweusi kumpa uhuru kwa kisingizio cha demkrasia si sahihi.

Hawa wahuni waliojazana kwenye hivi vyama vya upinzani ni hatari saana kuwaacha waropoke wanachojisikia kuropoka aisee.
Ni kweli kabisa sisi manyani demokrasia yetu ni kupora uchaguzi na kugawana vyeo kwa kujuana.
 
Nilishasema siku nyingi sana ,mwafrika mweusi kumpa uhuru kwa kisingizio cha demkrasia si sahihi.

Hawa wahuni waliojazana kwenye hivi vyama vya upinzani ni hatari saana kuwaacha waropoke wanachojisikia kuropoka aisee.
Nchi zenye vita zilianza taratibu na watu kama Lissu kuropoka na wakaachwa wakaenda hatua ya pili. Nape ana hoja nzito ni vizuri kumuunga mkono.
Kukosoa sera ni muhimu ila si vizuri kumshambulia dereva, gari huanguka na watu wakafa!
 
Nape !Nape! Nape! Nimekuita mara tatu. Acha kujificha kwenye mgongo wa Lissu ili kukwepa tuhuma za kumtukana mama. Acha mara moja.
 
Nchi zenye vita zilianza taratibu na watu kama Lissu kuropoka na wakaachwa wakaenda hatua ya pili. Nape ana hoja nzito ni vizuri kumuunga mkono.
Kukosoa sera ni muhimu ila si vizuri kumshambulia dereva, gari huanguka na watu wakafa!
Kama Kuna chama kitaleta vita nchi hii ni ccm, chama kinachopora uchaguzi waziwazi na watu wanatulia wakiwa na ghadhabu kwanini kisilete vita? Na ukweli mchungu, bila machafuko nchi yetu haitapata mabadiliko ya kweli. Iweje huo uhayawani usione utaleta vita, ila kusema ukweli ndio iwe ndio sababu ya vita?
 
Waulizwe wananchi wa nchi zote mbili kwa kura ya maoni ya halali kama wanataka huu muungano, hapo ndio utajua huu muungano ni kwa ajili ya viongozi majizi wa ccm. Muungano ambao watanganyika hawaruhusiwi kumiliki ardhi ama kushika nafasi za uongozi huko Zanzibar, ila wazanzibar Kila kitu huku wanaweza kukipata? Hakuna mtu anayejitambua atawez kuendekeza muungano wa hivyo.
 
Umesahau kuweka namba ya simu
 
Andaa passport ya kwenda Zanzibar, wenyewe hawataki muungano wa shuruti.
 
Unaroroma upuuzi mtupu!! Jifunze kujibu hoja.
 
Badala ya kuwahimiza ma CCM wenzake anataka kutuingiza Watanganyika wote kwenye maugomvi yao wakati wanaoitafuna nchi ni wao na familia zao.
Eti tumtenge na kumlaani wakati wa kutengwa na kulaniwa ni wao walafi wasiotosheka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…