Pre GE2025 Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wabunge Na Nape wote Ni watu Wa hovyo..wanashindwa kutoa kalipio Kali Kwa mbunge Wa Zanzibar aliye omba Wabara kwenda zenji twende Kwa kitambulisho...wakati hata Kenya Ruto alishatoa visa unaingia free kama unatoka zonal YA East Africa

Nape hafai kuwa hata Balozi Wa nyumba kumi
 
Juzi Mzanzibar alipodai Passport kwa Watanganyika, hawa akina Nape na Makala walikuwa kimyaa!

Kwamba Wazanzibar wana haki ya 'maneno ya kibaguzi;, Mtanganyika hana haki hiyo.
Nape anatia aibu kwa gharama ya Cheo
 
Unatakiwa kwenda Mchambawima na Passport na Viza, umejipanga ?
 
Unasemaje hapa?
 

Attachments

  • 20240430_003536.jpg
    68.6 KB · Views: 2
hivi huyu jamaa wanae wana future kweli?
 
Magufuli alikuwa na kauli yake anayopenda kutumia ‘huu sio wakati wa kubembelezana ni muda wa kazi, subirini nitoke watakuja wakuwabembeleza’.

CDM wanajulikana kwa uongo, siasa za uchochezi na namna yao ya mvuto ni kufanya maandamano (hata routes wanazotafuta leo ni maeneo ya biashara siku ambazo ni busy na peak times) lengo lao ni moja tu kujaribu kuleta chaos as willingly as the government would allow.

Sasa unapoona poyoyo kama Napę, anashangaa na kulalamika foul unajiuliza kama akili zake timamu, kuna siasa zingine CDM wanazojua zaidi ya hizi.

Tena CCM ina bahati leo Magufuli alishawaonyesha watanzania hao watu hawana shughuli zaidi ya kujaribu kuitoa nchi kwenye dira tu ya maendeleo ni watu wa kupuuzwa.

Sasa kama wewe umeamua kubariki upuuzi wao, deal with their nonsense too, ignore the limitations of democracy (watukane na kutunga uongo) hizo ndio siasa za CDM wanazoweza, being divisive and spreading hate.

Stupid CCM kwani mlizani Magufuli alikuwa anafanya mambo bila ya sababu za msingi.
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa
Kuandamana siyo suala la hisani, Bali ni haki.
 
Kuandamana siyo suala la hisani, Bali ni haki.
Of all the people Nape akiwa katibu wa uenezi CCM kila siku alikuwa na kazi ya kujibu tunzi za uongo za Dr.Slaa. Anazijua vizuri sana siasa za CDM.

Hizi Ndio siasa wanazopenda CCM ya mafisadi kutafuta distraction badala ya kufanya kazi, waonekane wanashuguli huku wanapiga hela nyuma ya pazia,

Hakuna nchi ambayo serikari inataka kufanya kazi ya ilani yake ya uchaguzi itaruhusu mikutano ya hadhara na maandano yasiyo na kikomo hata kama katiba inaruhusu that’s not political conduct etiquette.

Na chama chochote kusichoheshimu muda wa kazi za wengine, kipo kwa sababu ya ghasia.
 
Zanzibar Zanzibar eehhh
 
Kweli nyani haoni kundule. Hii kauli ya huyu mwakilishi wenu hamkuiona au ndio tuje kuomba kura tukiwa na passport kama tulivyokubaliana?
 

Attachments

  • 20240430_005233.jpg
    138.8 KB · Views: 2
Lissu yupo sawa, SSH angekuwa Rais wa Zanzibar angekuwa na huruma na rasimali za nchi yake.
Asingefukuza watu hovyohovyo, kuteua mabwege na vilaza, kujaza matozo, kodi, kuachia mfumuko wa bei kila sehemu.
Asingeuza rasilimali za nchi hovyo.
Kuokoa natural resources ni operasheni, mwenyeakili hawezi vumilia kuona mbuga ikigeuka mji huku ukijengwa makazi ya kudumu.
#Elewa hili kwanza,then jipime akili yako ipo sawa.
 
Umoja, amani na upendo....
Huku wanatafuna nchi zaidi ya mchwa!
Sisi mazombie, hawa chukuwachakomapema wabinafsi, wezi, roho mbaya, waroho...
 
Chawa
 
Tatizo la kufanya kazi kwa uchawa bila kutumia akili, hawa wateuliwa wa siku hizi ni kusifia sifia tuu mama mama mama, mama katoa milion nusu ooooh mama katoa milion mbili, yaani ni aibu tupu kama lile la Arusha, tatizo ni njaa na akili ndogo
 
Nappe ndio mpuuzi,sisi watanganyika tunakubaliana na lissu.
Yan tunakubaliana nae kwa asilimia mia.Na 60% ya kizazi kilichopo ni wamezaliwa baada ya muungano.hawa watoto hawangalii historia wao wanataka fact.miaka 10 ijayo mambo mengi sana yatakua yamebadilika ikiwemo muundo wa Muungano ni swala la muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…