Wabunge Na Nape wote Ni watu Wa hovyo..wanashindwa kutoa kalipio Kali Kwa mbunge Wa Zanzibar aliye omba Wabara kwenda zenji twende Kwa kitambulisho...wakati hata Kenya Ruto alishatoa visa unaingia free kama unatoka zonal YA East AfricaKwa hakika Lissu anapaswa kutengwa na kulaaniwa sana na kukemewa kwa nguvu zote na watanzania wote wenye mapenzi mema na Taifa letu, kwa kuendekeza tabia yake ya kutoa maneno yenye kuchochea ubaguzi.
Mdomo wa Lissu haunaga adabu wala staha wala hekima.anazungumzaga vitu visivyoendana na umri wake ni mtu wa kuropoka ropoka tu utafikiri mgonjwa.
Anashindwa kujenga hoja akaeleweka badala yake anakimbilia kujenga chuki na ubaguzi tu wa kijinga jinga .akifikiri ndio njia ya kupata kura za wananchi.
Nape hafai kuwa hata Balozi Wa nyumba kumi