Pre GE2025 Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Laana ya machawa wapenda uchafu ni dua la kuku. Lissu anatusemea wenye akili tu
 
Nilishasema siku nyingi sana ,mwafrika mweusi kumpa uhuru kwa kisingizio cha demkrasia si sahihi.

Hawa wahuni waliojazana kwenye hivi vyama vya upinzani ni hatari saana kuwaacha waropoke wanachojisikia kuropoka aisee.
Mimi sijawahi kumkubali Lissu kwa uropokaji wake enzi za JPM ila kwa kuwa alienda kutubu kaburini kwake nimemsamehe na kwa hili la sasa niko pamoja nae kabisa.

Alichosema ni sahihi kwa mtu mwenye akili timamu ila kwa chawa wa mama ni mwiba mkali. Tunahubiri heshima kwa katiba ila sisi sio wasafi. Unaanzaje kuhimiza watu waheshimu katiba ilihali wewe huieshimu?
 
Kutubu kwenye kaburi?You're out of your senses!Lissu ni mkristo.Anakufundisha kusamehe waliokukosea na kuwaombea dua njema marehemu na si kutubu kwa marehemu.Una wrong interpretations!
 
Mimi nawashangaa wanaomsikiliza Nape ambaye wakishirikiana na Makamba, Kinana na Mzee Makamba walitukana serikali nzima ya Magufuli!
 
Nchi zenye vita zilianza taratibu na watu kama Lissu kuropoka na wakaachwa wakaenda hatua ya pili. Nape ana hoja nzito ni vizuri kumuunga mkono.
Kukosoa sera ni muhimu ila si vizuri kumshambulia dereva, gari huanguka na watu wakafa!

Kama wenye mamlaka wanajua katiba mpya ndio inayohitajika sasa na kwa makusudi wanakwepa hilo hivi machafuko yakitokea kuna wa kumlaumu?
 
Hivi aliyesema watanganyika waingie kwa passport huko Zanzibar, alikuwa sahihi?
 
Uzuri ni kwamba tuna karbia kugawana mbao , sizani kama tutatoboa miaka 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…