Umenikumbusha mbali sana. Bora Mzee amepumzika,alitukanwa sana kwenye kampeni zileeee.Nape tambua kwamba Lissu siyo Lowassa
Kabisa, yeye na Lissu hawafanani hata kdg na ni sawa na mbingu na ardhiMimi siko upande wowote ila Nape angepambana na Mange na sio huyu
La sivyo ni kama wana chuki zao tu binafsi na sio kikazi zaidi
TOKEA SAMIA KAINGIA TOZO ZIMEPANDA, MAFUTA YAMEPANDA , DOLA IMEPANDA NA HAIPATIKANI WAKATI WA MAGUFULI ILISTABALISE, MPAKA MABANDO YA SIMU YAMEPANDA SASA HIVI BANDO LA.WIKI UNAJIUNGA KWA SIKU, MAFUTA PIA YAMEPANDA SANA , NAPE AJIBU HOJA SIO KULETA MIPASHOLissu yuko sahihi
Mkuu,Kwa hakika Lissu anapaswa kutengwa na kulaaniwa sana na kukemewa kwa nguvu zote na watanzania wote wenye mapenzi mema na Taifa letu, kwa kuendekeza tabia yake ya kutoa maneno yenye kuchochea ubaguzi.
Kwa nini hauko upande wowote??Mimi siko upande wowote ila Nape angepambana na Mange na sio huyu
La sivyo ni kama wana chuki zao tu binafsi na sio kikazi zaidi
chadema ya Lisu haina unafiki kama masisiemu wacha awafungue macho watanzania,maandamano ni haki ya kikatiba siyo hisani ya maza samia, huyu nepi naye kama hajasomaWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari.
Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na kila mwenye akili timamu kwani ni hoja za watu waliofilisika kisiasa.
"Watanzania tusikubali upuuzi huu, na mimi nitawashangaa watanzania waliozaliwa wakati wa Muungano hata wanaokwenda kumsikiliza mpuuzi huyu, tumkemee, tumtenge, tumlaani" amesema Nape.
Amebainisha ikiwa watanzania wataendelea kuangalia vitendo hivi vya ukosoaji kwa Rais kwa kutumia jinsia, kabila au sehemu anakotoka watakuwa hawaitendei haki nchi.
Ameongeza, "Ni Rais huyu ndiye amesema andamaneni, polisi kawalindeni, na leo walikuwa wanaandamana hapa. Wamelindwa na Polisi, wamesindikizwa walipoenda, wamesababisha foleni dodoma hapa, magari yamesimamishwa ili wao waandamane, kwa uungwana wa huyu mama anayemtukana"
View: https://www.youtube.com/live/2FZwDIHGIYE?si=sJH-YKoIJDyvB8rQ
Mimi sio mpenzi wa siasa sana, besides siishi huko mkuuKwa nini hauko upande wowote??
kama wewe ulivyo huna adabu kwa sisiemuKwa hakika Lissu anapaswa kutengwa na kulaaniwa sana na kukemewa kwa nguvu zote na watanzania wote wenye mapenzi mema na Taifa letu, kwa kuendekeza tabia yake ya kutoa maneno yenye kuchochea ubaguzi.
Mdomo wa Lissu haunaga adabu wala staha wala hekima.anazungumzaga vitu visivyoendana na umri wake ni mtu wa kuropoka ropoka tu utafikiri mgonjwa.
Anashindwa kujenga hoja akaeleweka badala yake anakimbilia kujenga chuki na ubaguzi tu wa kijinga jinga .akifikiri ndio njia ya kupata kura za wananchi.
Ukishaona mteuliwa anasifia sifia sana juwa kwamba COMPETENCE yake ni ndogo, hivyo ili ku survive na kuendelea kula kwa urefu wa kamba yake ni lazima atende kazi kiujanja ujanja!.Tatizo la kufanya kazi kwa uchawa bila kutumia akili, hawa wateuliwa wa siku hizi ni kusifia sifia tuu mama mama mama, mama katoa milion nusu ooooh mama katoa milion mbili, yaani ni aibu tupu kama lile la Arusha, tatizo ni njaa na akili ndogo
Katiba ya Zanzibar unaijua...?Kwa hakika Lissu anapaswa kutengwa na kulaaniwa sana na kukemewa kwa nguvu zote na watanzania wote wenye mapenzi mema na Taifa letu, kwa kuendekeza tabia yake ya kutoa maneno yenye kuchochea ubaguzi.
Mdomo wa Lissu haunaga adabu wala staha wala hekima.anazungumzaga vitu visivyoendana na umri wake ni mtu wa kuropoka ropoka tu utafikiri mgonjwa.
Anashindwa kujenga hoja akaeleweka badala yake anakimbilia kujenga chuki na ubaguzi tu wa kijinga jinga .akifikiri ndio njia ya kupata kura za wananchi.
CCM MMESHIKWA PABAYAWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari.
Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na kila mwenye akili timamu kwani ni hoja za watu waliofilisika kisiasa.
"Watanzania tusikubali upuuzi huu, na mimi nitawashangaa watanzania waliozaliwa wakati wa Muungano hata wanaokwenda kumsikiliza mpuuzi huyu, tumkemee, tumtenge, tumlaani" amesema Nape.
Amebainisha ikiwa watanzania wataendelea kuangalia vitendo hivi vya ukosoaji kwa Rais kwa kutumia jinsia, kabila au sehemu anakotoka watakuwa hawaitendei haki nchi.
Ameongeza, "Ni Rais huyu ndiye amesema andamaneni, polisi kawalindeni, na leo walikuwa wanaandamana hapa. Wamelindwa na Polisi, wamesindikizwa walipoenda, wamesababisha foleni dodoma hapa, magari yamesimamishwa ili wao waandamane, kwa uungwana wa huyu mama anayemtukana"
Pia soma:
TOKEA SAMIA KAINGIA TOZO ZIMEPANDA, MAFUTA YAMEPANDA , DOLA IMEPANDA NA HAIPATIKANI WAKATI WA MAGUFULI ILISTABALISE, MPAKA MABANDO YA SIMU YAMEPANDA SASA HIVI BANDO LA.WIKI UNAJIUNGA KWA SIKU, MAFUTA PIA YAMEPANDA SANA , NAPE AJIBU HOJA SIO KULETA MIPASHO
Hapana mdogo wangu! Sikiliza hojaKwa hakika Lissu anapaswa kutengwa na kulaaniwa sana na kukemewa kwa nguvu zote na watanzania wote wenye mapenzi mema na Taifa letu, kwa kuendekeza tabia yake ya kutoa maneno yenye kuchochea ubaguzi.