Pre GE2025 Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katiba inayotomaswa wenye akili timamu tulishaikataa, Kizimkazi alishaiita ni kijitabu tu..... tunahitaji katiba mpya.
 
Mimi siko upande wowote ila Nape angepambana na Mange na sio huyu
La sivyo ni kama wana chuki zao tu binafsi na sio kikazi zaidi
 
Nape anatakiwa ajitafakari sana na kupima upuuzi wa Lissu dhidi ya upuuzi wake!
Kama ni matusi aseme Lissu alitukana kivipi na kama ni upuuzi aliongea upuuzi upi !
Kama ni matusi yeye Nape ndie cha matusi na Watanzania wanamjua kwa tabia hiyo!
Ametukana sana wengi na kwa matusi ya nguoni ie Lowasa, Magufuli na wengine wengi!
Anyway, elimu yake ya kuungaunga ndio inamfanya kukosa nidhamu ya kuongea na kupanga maneno!
 
Lissu yuko sahihi
TOKEA SAMIA KAINGIA TOZO ZIMEPANDA, MAFUTA YAMEPANDA , DOLA IMEPANDA NA HAIPATIKANI WAKATI WA MAGUFULI ILISTABALISE, MPAKA MABANDO YA SIMU YAMEPANDA SASA HIVI BANDO LA.WIKI UNAJIUNGA KWA SIKU, MAFUTA PIA YAMEPANDA SANA , NAPE AJIBU HOJA SIO KULETA MIPASHO
 
Kwa hakika Lissu anapaswa kutengwa na kulaaniwa sana na kukemewa kwa nguvu zote na watanzania wote wenye mapenzi mema na Taifa letu, kwa kuendekeza tabia yake ya kutoa maneno yenye kuchochea ubaguzi.
Mkuu,
Hapo ulipoandika Lissu, weka Nape na genge lake ovu ambao ndo wanastahili kutengwa, kulaaniwa na kukemewa na kila Mtanzania..
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari.

Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na kila mwenye akili timamu kwani ni hoja za watu waliofilisika kisiasa.

"Watanzania tusikubali upuuzi huu, na mimi nitawashangaa watanzania waliozaliwa wakati wa Muungano hata wanaokwenda kumsikiliza mpuuzi huyu, tumkemee, tumtenge, tumlaani" amesema Nape.

Amebainisha ikiwa watanzania wataendelea kuangalia vitendo hivi vya ukosoaji kwa Rais kwa kutumia jinsia, kabila au sehemu anakotoka watakuwa hawaitendei haki nchi.

Ameongeza, "Ni Rais huyu ndiye amesema andamaneni, polisi kawalindeni, na leo walikuwa wanaandamana hapa. Wamelindwa na Polisi, wamesindikizwa walipoenda, wamesababisha foleni dodoma hapa, magari yamesimamishwa ili wao waandamane, kwa uungwana wa huyu mama anayemtukana"

View: https://www.youtube.com/live/2FZwDIHGIYE?si=sJH-YKoIJDyvB8rQ

chadema ya Lisu haina unafiki kama masisiemu wacha awafungue macho watanzania,maandamano ni haki ya kikatiba siyo hisani ya maza samia, huyu nepi naye kama hajasoma
 
Kwa hakika Lissu anapaswa kutengwa na kulaaniwa sana na kukemewa kwa nguvu zote na watanzania wote wenye mapenzi mema na Taifa letu, kwa kuendekeza tabia yake ya kutoa maneno yenye kuchochea ubaguzi.

Mdomo wa Lissu haunaga adabu wala staha wala hekima.anazungumzaga vitu visivyoendana na umri wake ni mtu wa kuropoka ropoka tu utafikiri mgonjwa.

Anashindwa kujenga hoja akaeleweka badala yake anakimbilia kujenga chuki na ubaguzi tu wa kijinga jinga .akifikiri ndio njia ya kupata kura za wananchi.
kama wewe ulivyo huna adabu kwa sisiemu
 
Tatizo la kufanya kazi kwa uchawa bila kutumia akili, hawa wateuliwa wa siku hizi ni kusifia sifia tuu mama mama mama, mama katoa milion nusu ooooh mama katoa milion mbili, yaani ni aibu tupu kama lile la Arusha, tatizo ni njaa na akili ndogo
Ukishaona mteuliwa anasifia sifia sana juwa kwamba COMPETENCE yake ni ndogo, hivyo ili ku survive na kuendelea kula kwa urefu wa kamba yake ni lazima atende kazi kiujanja ujanja!.
Usitegemee maajabu kutoka kwa Nape na degree zake magumashi kutoka Bangalore, India!!.
 
Kwa hakika Lissu anapaswa kutengwa na kulaaniwa sana na kukemewa kwa nguvu zote na watanzania wote wenye mapenzi mema na Taifa letu, kwa kuendekeza tabia yake ya kutoa maneno yenye kuchochea ubaguzi.

Mdomo wa Lissu haunaga adabu wala staha wala hekima.anazungumzaga vitu visivyoendana na umri wake ni mtu wa kuropoka ropoka tu utafikiri mgonjwa.

Anashindwa kujenga hoja akaeleweka badala yake anakimbilia kujenga chuki na ubaguzi tu wa kijinga jinga .akifikiri ndio njia ya kupata kura za wananchi.
Katiba ya Zanzibar unaijua...?
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari.

Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na kila mwenye akili timamu kwani ni hoja za watu waliofilisika kisiasa.

"Watanzania tusikubali upuuzi huu, na mimi nitawashangaa watanzania waliozaliwa wakati wa Muungano hata wanaokwenda kumsikiliza mpuuzi huyu, tumkemee, tumtenge, tumlaani" amesema Nape.

Amebainisha ikiwa watanzania wataendelea kuangalia vitendo hivi vya ukosoaji kwa Rais kwa kutumia jinsia, kabila au sehemu anakotoka watakuwa hawaitendei haki nchi.

Ameongeza, "Ni Rais huyu ndiye amesema andamaneni, polisi kawalindeni, na leo walikuwa wanaandamana hapa. Wamelindwa na Polisi, wamesindikizwa walipoenda, wamesababisha foleni dodoma hapa, magari yamesimamishwa ili wao waandamane, kwa uungwana wa huyu mama anayemtukana"

Pia soma:

CCM MMESHIKWA PABAYA
 
TOKEA SAMIA KAINGIA TOZO ZIMEPANDA, MAFUTA YAMEPANDA , DOLA IMEPANDA NA HAIPATIKANI WAKATI WA MAGUFULI ILISTABALISE, MPAKA MABANDO YA SIMU YAMEPANDA SASA HIVI BANDO LA.WIKI UNAJIUNGA KWA SIKU, MAFUTA PIA YAMEPANDA SANA , NAPE AJIBU HOJA SIO KULETA MIPASHO

Kwa akili zile hawezi kujibu hoja nzito kama hizo
Tunakosea sana kuwapa nafasi za juu vilaza kama Nape
 
Kwa hakika Lissu anapaswa kutengwa na kulaaniwa sana na kukemewa kwa nguvu zote na watanzania wote wenye mapenzi mema na Taifa letu, kwa kuendekeza tabia yake ya kutoa maneno yenye kuchochea ubaguzi.

Mdomo wa Lissu haunaga adabu wala staha wala hekima.anazungumzaga vitu visivyoendana na umri wake ni mtu wa kuropoka ropoka tu utafikiri mgonjwa.

Anashindwa kujenga hoja akaeleweka badala yake anakimbilia kujenga chuki na ubaguzi tu wa kijinga jinga .akifikiri ndio njia ya kupata kura za wananchi.
Hapana mdogo wangu! Sikiliza hoja
 
Back
Top Bottom