Pre GE2025 Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

Pre GE2025 Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
TL Ni lazima atumie kila aina ya laghai kwa wakati huu, kwani njia zote ambazo ndizo upenyo wa kukosoa zimezibwa, hawezi kukosa tahira za kumsikiliza kupata tumaini lisilokuwepo!
N. B,
CCM IENDELEE KUONDOSHA KERO ZOTE ZA WATANZANIA BARA NA VISIWANI.
 
Lissu yupo sawa, SSH angekuwa Rais wa Zanzibar angekuwa na huruma na rasimali za nchi yake.
Asingefukuza watu hovyohovyo, kuteua mabwege na vilaza, kujaza matozo, kodi, kuachia mfumuko wa bei kila sehemu.
Asingeuza rasilimali za nchi hovyo.
 
Mtu aliyepigwa risasi zaidi ya 20+ na Mungu akamlinda leo anatembea na kusimama tena UTAMLAANIA WAPI

Mtu anaetuambia yale tusoyajua kuhusu nchi yetu tena kwa Data zilizonyooka TUNAACHA VIPI KWENDA KUMSKILIZA

Nape na wenzako kwanini msimshauri Rais akawatoe Wapemba na Waunguja pale Stone Town ili pale kivutio cha Utalii afu tuone, Ama Kwnn msimshauri abinafsishe na bandari za Unguja kwa DP World ili nao wapate mapato makubwa km tunayopata sisi Tanganyika?

CAG katoa ripoti juz mmechukua hatua gani? Vijana tumesoma na hatuna Ajira mmechukua hatua gani? Bidhaa zimepanda bei mtaani isivyo kawaida mmechukua hatua gani? Kuna ubovu wa miundombinu kila kona nchi hii mmechukua hatua gani? Vp kuhusu KATIBA MPYA? KUTEKWA KWA WATZ WENZETU?

Muacheni Tundu Antipas Lissu ni mpango wa Allah
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari.

Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na kila mwenye akili timamu kwani ni hoja za watu waliofilisika kisiasa.

"Watanzania tusikubali upuuzi huu, na mimi nitawashangaa watanzania waliozaliwa wakati wa Muungano hata wanaokwenda kumsikiliza mpuuzi huyu, tumkemee, tumtenge, tumlaani" amesema Nape.

Amebainisha ikiwa watanzania wataendelea kuangalia vitendo hivi vya ukosoaji kwa Rais kwa kutumia jinsia, kabila au sehemu anakotoka watakuwa hawaitendei haki nchi.

Ameongeza, "Ni Rais huyu ndiye amesema andamaneni, polisi kawalindeni, na leo walikuwa wanaandamana hapa. Wamelindwa na Polisi, wamesindikizwa walipoenda, wamesababisha foleni dodoma hapa, magari yamesimamishwa ili wao waandamane, kwa uungwana wa huyu mama anayemtukana"

View: https://www.youtube.com/live/2FZwDIHGIYE?si=sJH-YKoIJDyvB8rQ

Nape ni wazuri au bogus Tu lipo pale
 
Aliyoyaongea Lissu ni sahihi, nape anataka sisi tumbague Lissu kwa kipi? Yaani kumbe CCM ni wabaguzi. Ukimsikiliza lissu yuko sahihi kabisa. Kwa sasa ccm haina watu strong kwenye kujibu hoja mpaka wanaomba raia wabague lissu. Ni aibu sana!!!!! Sasa tutawapaje kura ccm kama hawawezi jibu hoja za msingi za Lissu
 
Hivi lile BICHWA LA NAPE ukilipakia kwenye toroli linaenea kweli?

Jamaa ana LIBICHWA aiseee...

BICHWA kama konteina la kichina.
Wewe la kwako lipoje? Mwanaume mzima tangia lini ukaanza kuangalia vichwa vya wanaume wenzako badala ya kufanya kazi ujipatie kipato?
 
Zanzibar ina beach nzuri sana na vivutio vingine vya utalii, Samia hajavigusa ameuza vya Tanganyika.

Unatetea ujinga kwa vile unafaidika na utawala wake na kusahau kuwa watoto wako na uzao wako ni wa Tanganyika!

Watu wanaweka kumbukumbu, kama si wewe adhabu hizo watabeba uzao wako za kutetea kuuzwa tanganyika!
 
Makonda aliwaweza wapinzani mrudisheni kwenye nafasi yake jamani,Makalla yuko wapi kujibu!
 
Back
Top Bottom