Nape Nnauye: Nilikatazwa Kwenda kuchunguza Uvamizi Clouds, niliambiwa nitafukuzwa kazi

Quite a head scratcher. It speaks volume of how government officials perceive the current administration.
 
Kama Waziri Nape ni mtu wa hivi, ilikuwa tena akaomba msamaha tena kwa ... Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity
P
 
Usiwe kama sio mjinga, uliza safari nyingine alizokua anaenda hapo tena usiku alikua anaenda vipi ndo ujue kama kwenda vile na silaha ilikua ni uvamizi ama ilikua kawaida yake.

Kwanini unadhani Clouds hawajai pursue hiyo ishu mpaka kesho? Ni kwasababu hakuna kesi pale.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Another reference from your past writing. Always great to read your pov, which as always is a repertoire of current and future tanzanian political landscape analysis and socio economic dynamics
Thanks. Mimi nimesoma history, hivyo maandiko yangu mengi naweka references za history, tulikotoka na tulipo ili tujue tunapokwenda.
P
 
Fafanua zaid hapa.. kwamba makonda alikua sahihi? Kwamba uchunguzi ulikua wa kusingizia hakukua na uvamizi clouds?
Hakukua na uvamizi at least kwa video iliyoonekana mitandaoni, huyo nape alitaka kumfundisha kazi bosi wake.

Na wabongo walivokomalia ile ishu na uongo mwingine mwingi ilifanya niamini hii dunia imejaa ubatili mtupu

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Umeandika hii ukiwa unavuta kitu gani?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Huyo mvamizi mbona hajashtakiwa mpaka sasa? Au kasamehewa ?
 
afu ndo msama promotions anamualika nape kwenye tamasha la pasaka.

Pumbavu zao
 
Halafu baada ya kusema lile bedui lenu lililo kuwa lina ua na kuteka watu limfanyeje? Ndio maana huwa nawaona mna akili ndogo sana.
Kwamba unaona angemteka au kumuuwa kabisa?
 
Mwendazake alikuwa anaendesha nchi hii kipumbavu sana. Kama Mungu asingefanya maamuzi magumu hadi sasa, nchi hii ingeingia jumla kwenye mikono haramu ya Sukuma Gang.
Sasa hivi nchi ipo kwenye mikono ya Stupid gang wanatafuna pesa kwa kasi sana.
 
Nani anaweza kuthibitisha haya maelezo kama sio kujitoa ufahamu
 

Bado kidogo atamtaja yule aliemshikia mguu wa kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…