Nape Nnauye: Nilikatazwa Kwenda kuchunguza Uvamizi Clouds, niliambiwa nitafukuzwa kazi

Nape Nnauye: Nilikatazwa Kwenda kuchunguza Uvamizi Clouds, niliambiwa nitafukuzwa kazi

Nchi hii kwa sasa inamawaziri vilaza wawili tu!

Hao ndio wanaochafua hali ya nchi

Wapuuzi sana hawa
Katika_Historia%3A%0APamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hak...jpg
 
Tueleze starlink imefikia wapi maana Rwanda na Kenya zilithibitishwa within a week na sasa wanatumia, tunasikia wewe ndio kikwazo, fanya kazi watu wapate starlink sio hizi porojo, kwanza ulirudi ukaomba msamaha sasa sijui unaongea nini
 
Kama ishu ni heshima,
Zile audio clips zilipovuja mitandaoni
Kilichomfanya kwenda ikulu kuomba msamaha ni kipi
 
Mh. Nape palikuwa na ulazima wa kuyasema haya? Na kwa nini sasa?
Kwanza kabisa ni kinyume cha kiapo chake cha uwaziri. Aliapa atamtii Rais na hatatoa siri ya mambo ya serkali isipokua kwa idhini ya Rais. Yeye mpaka sasa in mtumishi wa serkali hatakiwi kuyasema hayo aliyosema hats kama no kweli alikatazwa hiyo ilikua siri. Hivyo anafanya kosa la chini ya kiapo ( perjury).
 
Sakati la yule RC lilikuwa ni bifu lake na Marehemu, ambaye aliaamua kutumia clouds kama silaha kumharibia. Huyo Nape naye alikuwa na chuki na RC, aliona hiyo ndiyo nafasi pekee ya kumshughulikia kwa kutumia cheo chake vibaya. Hakujua JPM alijua ugomvi wote na alikuwa akimsoma tu ndiyo hapo akamla kichwa kwa kutumia madaraka yake vibaya.

Baadaye RC na marehemu Ruge waliitwa na JPM jukwaani na kuusiwa wapendane na yeye anawapenda, maana bifu lilikuwa la watu wawili kitu kituo kilitumika upande wa Program manager wao.
 
Makonda alihusika na uvamizi Clouds ?
Hapana. Ule ulikua sio uvamizi. Makonda na Clouds walikua washkaji sana.Uhusiano wao ulivuka mipaka ukiangalia before hawajagombana. Hakuna kiongoz alikua anaingia chumba cha utayarishaji lkn makonda alikua anaingia. Kugombana kwao, Nape akataka kutake advantage. Ukifuatilia utaona Makonda na Nape walianza kuvutana kwenye ishu za madawa ya kulevya. Nape alitaka ugomvi wa Clouds na makonda umnufaishe yeye.
 
Back
Top Bottom