Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Mfia tumbo huyo aache mbwembwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfia tumbo huyo aache mbwembwe
Nchi hii kwa sasa inamawaziri vilaza wawili tu!
Hao ndio wanaochafua hali ya nchi
Wapuuzi sana hawa
Mi nilidhani akina ngosha wote ni wema,wapole ila sasa hili kichwani mwangu halipo,nimeona zaidi ya 20 wana ukatili na roho mbaya sana!Hahahha, Ngosha angekuwepo ungeongea haya?Huna lolote.Unaongea leo vile unajua Ngosha kalala milele. Chefuuu
Jinai haifi unakumbuka alitishiwa na pistol?Ishu ina miaka takribani 6. Politicians sometym
Sukuma gangs katika ubora wakeKwa tabia anazoonyesha Nape sasa hivi, naamini kuwa alikwenda Clouds kumkomoa Makonda na si kwamba ni weledi wa kazi.
Huyu si riziki na mnafikiYote hayo mwizi ni mmoja tu..!! Mnayemlinda kwa gharama yoyote ile asisemwe..!!
Hana msimamo,Bora ya membe alikaza[emoji4]Msaamaha alienda kuomba kwa ajili ya zile audio,aliogopa kutimuliwa chamani
Hako ni kakiropo majukwaa yote🤒Angeongea wapi wakati mlimzuia kuongea na waandishi wa habari hadi mkamtishia pisto?
Umevimbiwa ee
Kwanza kabisa ni kinyume cha kiapo chake cha uwaziri. Aliapa atamtii Rais na hatatoa siri ya mambo ya serkali isipokua kwa idhini ya Rais. Yeye mpaka sasa in mtumishi wa serkali hatakiwi kuyasema hayo aliyosema hats kama no kweli alikatazwa hiyo ilikua siri. Hivyo anafanya kosa la chini ya kiapo ( perjury).Mh. Nape palikuwa na ulazima wa kuyasema haya? Na kwa nini sasa?
Kama alichagua heshima angeaongea pia kupindi hicho... sasa hivi ni unafiki tu..Angeongea wapi wakati mlimzuia kuongea na waandishi wa habari hadi mkamtishia pisto?
Umevimbiwa ee
Hapana. Ule ulikua sio uvamizi. Makonda na Clouds walikua washkaji sana.Uhusiano wao ulivuka mipaka ukiangalia before hawajagombana. Hakuna kiongoz alikua anaingia chumba cha utayarishaji lkn makonda alikua anaingia. Kugombana kwao, Nape akataka kutake advantage. Ukifuatilia utaona Makonda na Nape walianza kuvutana kwenye ishu za madawa ya kulevya. Nape alitaka ugomvi wa Clouds na makonda umnufaishe yeye.Makonda alihusika na uvamizi Clouds ?