ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
80 ndicho kilimpeleka, sabuni tamu sana, yupo kwa bei mifukoni mwa nganda pipoKwani makonda alikuwa mfanyakazi wa Clouds?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
80 ndicho kilimpeleka, sabuni tamu sana, yupo kwa bei mifukoni mwa nganda pipoKwani makonda alikuwa mfanyakazi wa Clouds?
Sasa si achukue hatua, afanye uchunguzi, clouds wapo, aliyevamia yupo, yeye kama waziri yupo, muda upo, raslimali zipo, sheria zipo, nini kinamshinda sasa hivi kufanya uchunguzi wa jambo hilo na kuchukua hatua?Nyie mnao semaga mbona hukusema wakati yupo huwa nawaona mnaakili ndogo sana sijui kwanini?
Unafiki pro max makonda na clouds washayamaliza kitambo iweje uje leo kuropoka,tz kila mtu anajifanya anajua,hongera mwenye akili kubwa Kama kichwa chako[emoji23]
Katika hili, nilikuwa naomba nijaribu kumshauri Mh. Waziri aache kuendelea kuongelea mambo negative yanayomhusu Rais wa Nchi bila kujali ni Rais aliyepita, aliyepo au atakayekuja; assuming hatakuwa yeye , kwa sababu mpaka muda huu bado mamlaka hiyo hiyo ndiyo iliyomuona kuwa anafaa na hivyo kumpa heshima ya kuendelea kutumika chini ya mamlaka hiyo.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema wakati anaenda kufanya uchunguzi wa uvamizi uliofanywa Clouds na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alizuiwa kwa kuambiwa kuwa atafukuzwa kazi kama ataenda kuchunguza tukio hilo.
“Asubuhi yake nilizuiwa kwenda kuchunguza, nikaambiwa ukienda utakuwa hauna kazi. Nikasema ni bora nisiwe na kazi lakini nilinde heshima.”
Ameongeza, “Kwa sababu katika mazingira wewe ndiyo waziri, watu wanavamia kituo, halafu wewe unatakiwa usiende. Unachagua kati ya heshima na kazi. Heshima utaenda nayo, kazi ipo siku itaondoka tu, kwa hiyo nikachagua heshima ambayo nadhani naendelea nayo leo”.
"Kwamba mwajiri anasema ukienda kazi huna, nikasema sawa, halafu mimi naendelea kusema tunachunguza, mwajiri anasema bhana wewe uliyevamia endelea na kazi vizuri hakuna shida"
Baada ya tukio hilo, Waziri Nape amebainisha kuwa waliunda Tume ambayo siku ya kusoma ripoti walianza kushauriana wasome au wasisome, ambapo aliwaaambia wajumbe wa tume kuwa kama wataisoma yeye hatakuwa tena na hiyo kazi.
"Wakasema Mhe. Waziri tukisoma utafukuzwa kazi, nikasema ndiyo na nimetoka kuthibitishiwa pia sasa hivi maana kabla ya pale nilipitia mahali, nikasema jamani ile taarifa ipo tayari na wananisubiria tufanyeje? Wakasema sasa uamue, uisome afu uondoke au uinyamazie uendelee na kazi. Nikatafakari, nikachagua heshima maana haviwezi kukaa pamoja"
Amekiri kuwa hata kitendo cha yeye kuondolewa wizarani hakikumshangaza kwa kuwa alijua litatokea, wakati anapokea taarifa aliwaambia wajumbe wa tume kuwa kuna gharama za kulipa baadae na yeye yupo tayari.
Nilikatazwa nilikatazwa, TTCL inakufa mikononi mwako!Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema wakati anaenda kufanya uchunguzi wa uvamizi uliofanywa Clouds na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alizuiwa kwa kuambiwa kuwa atafukuzwa kazi kama ataenda kuchunguza tukio hilo.
“Asubuhi yake nilizuiwa kwenda kuchunguza, nikaambiwa ukienda utakuwa hauna kazi. Nikasema ni bora nisiwe na kazi lakini nilinde heshima.”
Ameongeza, “Kwa sababu katika mazingira wewe ndiyo waziri, watu wanavamia kituo, halafu wewe unatakiwa usiende. Unachagua kati ya heshima na kazi. Heshima utaenda nayo, kazi ipo siku itaondoka tu, kwa hiyo nikachagua heshima ambayo nadhani naendelea nayo leo”.
"Kwamba mwajiri anasema ukienda kazi huna, nikasema sawa, halafu mimi naendelea kusema tunachunguza, mwajiri anasema bhana wewe uliyevamia endelea na kazi vizuri hakuna shida"
Baada ya tukio hilo, Waziri Nape amebainisha kuwa waliunda Tume ambayo siku ya kusoma ripoti walianza kushauriana wasome au wasisome, ambapo aliwaaambia wajumbe wa tume kuwa kama wataisoma yeye hatakuwa tena na hiyo kazi.
"Wakasema Mhe. Waziri tukisoma utafukuzwa kazi, nikasema ndiyo na nimetoka kuthibitishiwa pia sasa hivi maana kabla ya pale nilipitia mahali, nikasema jamani ile taarifa ipo tayari na wananisubiria tufanyeje? Wakasema sasa uamue, uisome afu uondoke au uinyamazie uendelee na kazi. Nikatafakari, nikachagua heshima maana haviwezi kukaa pamoja"
Amekiri kuwa hata kitendo cha yeye kuondolewa wizarani hakikumshangaza kwa kuwa alijua litatokea, wakati anapokea taarifa aliwaambia wajumbe wa tume kuwa kuna gharama za kulipa baadae na yeye yupo tayari.
Kwa nini hakujiuzulu kuonyesha msimamo wake?Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema wakati anaenda kufanya uchunguzi wa uvamizi uliofanywa Clouds na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alizuiwa kwa kuambiwa kuwa atafukuzwa kazi kama ataenda kuchunguza tukio hilo.
“Asubuhi yake nilizuiwa kwenda kuchunguza, nikaambiwa ukienda utakuwa hauna kazi. Nikasema ni bora nisiwe na kazi lakini nilinde heshima.”
Ameongeza, “Kwa sababu katika mazingira wewe ndiyo waziri, watu wanavamia kituo, halafu wewe unatakiwa usiende. Unachagua kati ya heshima na kazi. Heshima utaenda nayo, kazi ipo siku itaondoka tu, kwa hiyo nikachagua heshima ambayo nadhani naendelea nayo leo”.
"Kwamba mwajiri anasema ukienda kazi huna, nikasema sawa, halafu mimi naendelea kusema tunachunguza, mwajiri anasema bhana wewe uliyevamia endelea na kazi vizuri hakuna shida"
Baada ya tukio hilo, Waziri Nape amebainisha kuwa waliunda Tume ambayo siku ya kusoma ripoti walianza kushauriana wasome au wasisome, ambapo aliwaaambia wajumbe wa tume kuwa kama wataisoma yeye hatakuwa tena na hiyo kazi.
"Wakasema Mhe. Waziri tukisoma utafukuzwa kazi, nikasema ndiyo na nimetoka kuthibitishiwa pia sasa hivi maana kabla ya pale nilipitia mahali, nikasema jamani ile taarifa ipo tayari na wananisubiria tufanyeje? Wakasema sasa uamue, uisome afu uondoke au uinyamazie uendelee na kazi. Nikatafakari, nikachagua heshima maana haviwezi kukaa pamoja"
Amekiri kuwa hata kitendo cha yeye kuondolewa wizarani hakikumshangaza kwa kuwa alijua litatokea, wakati anapokea taarifa aliwaambia wajumbe wa tume kuwa kuna gharama za kulipa baadae na yeye yupo tayari.
Ni wakati wa kusema Sasa kwanini alitoka ikulu huku anageuka geuka nyuma halafu analia..
Ni wakati wa kusema ukweli sasa
Msaamaha alienda kuomba kwa ajili ya zile audio,aliogopa kutimuliwa chamani
Ww ndio mjinga unayesapoti mtu Kama Nape ,mkanyaga matako ya wanawake.Halafu baada ya kusema lile bedui lenu lililo kuwa lina ua na kuteka watu limfanyeje? Ndio maana huwa nawaona mna akili ndogo sana.
Uliwaona hao watu wenye silaha? Maana Video ilimwonesha akipita mapokezi tu na hakuna uvamizi wowote ule uliyoonekana. Hebu tuoneshe wewe ushahidi walikuwa na silahaKwa nini Makonda alienda na watu waliokuwa na silaha katika kituo cha habari? Hii haikuwa kuhatarisha usalama wa wafanyakazi wa hichk kituo?
Inamaanisha watu walio washikaji kiasi cha kuvuka mipaka wakigombana kiasi cha mshikaji mmoja kuja na silaha kwa mshikaji mwingine polisi au serikali haitakiwi kufanya uchunguzi na kuchukua hatua zozote??
Uliwaona hao watu wenye silaha? Maana Video ilimwonesha akipita mapokezi tu na hakuna uvamizi wowote ule uliyoonekana. Hebu tuoneshe wewe ushahidi walikuwa na silaha
Jiwe=killerSisi tunachoomba gharama za bando zishuke hayo ya uvamizi kwa sasa hayatusaidii!