Nape Nnauye: Rais Samia Suluhu aendelee mpaka 2030

Siyo kumsengenya, yale ni maongezi ya kawaida ya faragha ya watu. Tulitakiwa kumkomalia Jiwe kwanini anaingilia faragha za watu?

Yalijawa na hujuma na dalili zote za kiuhaini
 
Mara Paap, mtangulizi kafufuka, itabidi wawe wadogo tena.
 
Lakini alichokiongea ni Kweli kabisa hata kama ni mapema sana kusema

Tusimjadili Nape tuijadili hoja yake
 
Huyu mama kutaka kushindana na mwendazake ndo utakua mwisho wake kwa wengi. Hao akina nape and team walimsengenya akiwepo no wonder watasema shit hadharani asipokuwepo kabisa. Lakini wananchi tuna akili kuchanganya nani ni nani
Anashindana Nini sasa na raisi aliepita,jaman samia sahivi ni raisi na katiba ndio imempa nguvu hio anahaki kuongoza anavoona inapendeza Kama ambavyo magufuli hakuwai fata ya watangulizi wake na huyu anaio mandate vilevile
 
Bila ya kuwasahau wale 19.
 
Nape mtu makini sana!!! Mama milele madarakani
 

Nape Nnauye: Rais Samia Suluhu aendelee mpaka 2030, wewe utakuwa unaendelea na ubunge na uwaziri?​

Au utakuwa unafanya biashara ipi?​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…