Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwa awamu hii hatarajii kukosea tena kuhusu Media services act ambayo wadau wa habari wamekuwa wakiilalamikia tangu kuundwa kwake 2016.
Nape amesema hayo alipokuwa akipokea mapendekezo ya wadau wa habari nchini katika ofisi za TCRA, Novemba 21, 2022.
Wadau wa habari wamependekeza mabadiliko kwenye vifungu kadhaa ikiwemo kuondoa suala la Kashfa kwenye jinai, kuongeza muda wa leseni ili kuvutia uwekezaji, kutafsiri suala la Uchochezi, na kuondoa nguvu ya serikali kuingiria uhuru wa wahariri.
Nape ambaye alikuwepo wakatia sheria hiyo inaundwa mwaka 2016, ameahidi kuwa hahitaji kukosea tena kuhusu sheria hii ambayo tayari mapendekezo wameyapokea na baadhi yameshafanyiwa kazi.