Kwa uongo wa Nape anastahili kuwa msemaji wa timu za mpira pekee.Kama kuna wapuuzi wa kubwa ndani ya serikali ni huyu jamaa, huyu ilibidi abaki kama team ya propaganda tu katika chama, hakupaswa kuwa ndani ya serikali.
Aahah Tanzania yetu hiiMtu aliyefeli forms four ndo anakuwa waziri wa teknologia
Nyie ndio vilaza. John Major alikuwa Waziri Mkuu wa Uingereza na hakuwa na digrii na kazi yake kubwa kabla ya kuwa Waziri Mkuu ilikuwa ni ukondakta! Ila kwakuwa huyo ni mzungu kwenu ninyi vilaza hakuna shida! Ahahahahaha!!!Cheki vilaza wengine Hawa kwaiyo hizo sera anazoziongelea zimetoka makalioni?
Hili ni ajibu lingine. Anaishia kuwa msemaji wa wizara, hana tofauti na afisa habariMtu aliyefeli forms four ndo anakuwa waziri wa teknologia
Wewe ndiye Mshamba usiyejua chochote zaidi ya kufuata mkumbo.Ila na wewe ni mshamba pro kabisa
Ahahahahaha!!!Sasa utaongelea sera bila kuwa na upeo?.hivi unajua maana ya neno Serikali.Serikali ni Mawaziri.
Moja ya kozi nilizosomea ni "Social Policy" na Mwalimu wangu alikuwa Professor Chacha Matoka wa The Open University of Tanzania. Unamjua?Sera anaandaa nani?. Kama hujui Jambo Kaa kimya.
Sidhani hata kama kaliongelea hilo swala. Elon naona anazunguka na madalali kutafuta ka plot aweke ofisi.Kwani bado anataka Elon Musk aweke ofisi ndio aruhusiwe kufanya kazi Tz?
Kweli wewe ni mtoto wa shule.Acha ushamba Dogo. Waziri kazi yake ni kuongelea sera tu. Hata baako anaweza kuwa Waziri.
Kwa Tanzania mbona inawezekana!Mtu aliyefeli forms four ndo anakuwa waziri wa teknologia
[emoji23][emoji23] mkuu china umeenda mbali sana aiseEti form four failure ndo anakuwa waziri wa teknologia hivi CCM wahisi China ipo pale kwa bahati?
Siasa na teknolojia pia hviendani...ukileta ile ccm mbele kwa mbele kwenye teknolojia utapata alama F ..nawaza huyu jamaa akipata nafasi labda ya dakika 10 na elon musk ataongea niniUchawa na teknolojia ni kama maji na mafuta, havichangamani.
Mwingine alifeli hiyo form na amekuwa prezdaa kabisa, bongo tunaongozwa na wasio na uwezo...wenye uwezo wamekaa pembeni!.Mtu aliyefeli forms four ndo anakuwa waziri wa teknologia
Jibu swali,alisomaje uana habari, kozi inagohitaji cheti Cha form four ikiwa alipata ziro!?..acha umbea wa kimamamamaTafuta CV utaon jinsi alivyojiharishia kwenye necta licha ya kuwa na mazingira Bora
Utakuta hio satellite wanayosema ni yale madishi makubwa yanakaa chini.Wataalamu, setelaiti moja inaweza kutumika kama backup nchi nzima?
Hao waliofaulu wamefanikisha nini?Mtu aliyefeli forms four ndo anakuwa waziri wa teknologia
Kama huko Gazza?Utakuta hio satellite wanayosema ni yale madishi makubwa yanakaa chini.