Nape Nnauye: Tanzania kuwa na Satelaiti yake kama backup ya internet, Mkongo uliokatika kuchukua siku 7 zaidi kutengamaa

Nape Nnauye: Tanzania kuwa na Satelaiti yake kama backup ya internet, Mkongo uliokatika kuchukua siku 7 zaidi kutengamaa

Kama kuna wapuuzi wa kubwa ndani ya serikali ni huyu jamaa, huyu ilibidi abaki kama team ya propaganda tu katika chama, hakupaswa kuwa ndani ya serikali.
Kwa uongo wa Nape anastahili kuwa msemaji wa timu za mpira pekee.
 
Cheki vilaza wengine Hawa kwaiyo hizo sera anazoziongelea zimetoka makalioni?
Nyie ndio vilaza. John Major alikuwa Waziri Mkuu wa Uingereza na hakuwa na digrii na kazi yake kubwa kabla ya kuwa Waziri Mkuu ilikuwa ni ukondakta! Ila kwakuwa huyo ni mzungu kwenu ninyi vilaza hakuna shida! Ahahahahaha!!!
 
Huu mkongo ndo mafundi wa ttcl wanakomaa nao?
 
Kwani bado anataka Elon Musk aweke ofisi ndio aruhusiwe kufanya kazi Tz?
Sidhani hata kama kaliongelea hilo swala. Elon naona anazunguka na madalali kutafuta ka plot aweke ofisi.
 
Mtu aliyefeli forms four ndo anakuwa waziri wa teknologia
Kwa Tanzania mbona inawezekana!
We hukuona kale kajamaa kalikokuwa kanazunguka kwenye ziara mikoani kanawapigia simu wasomi na wenye vyeo vikubwa serikalini kanawakoromea live kwenye simu kakiwa jukwaani mbele ya wananchi!
Halafu eti juzi namuuliza mwanangu "ukikua unataka uwe kama nani?" Eti akajibu "Nataka niwe kama Makonda"
Mpaka leo namuangalia tu sina cha kusema.
 
Eti form four failure ndo anakuwa waziri wa teknologia hivi CCM wahisi China ipo pale kwa bahati?
[emoji23][emoji23] mkuu china umeenda mbali sana aise
Nilikua naangalia plan walizonazo wachina tena watoto wadogo wanawezeshwa na wanakua aware na mipango mikubwa ya nchi , sasa watu kama hao unataka ushindane nao? Labda tuanzie kujipima kwa nchi za ukanda wa afrika kwanza
 
Uchawa na teknolojia ni kama maji na mafuta, havichangamani.
Siasa na teknolojia pia hviendani...ukileta ile ccm mbele kwa mbele kwenye teknolojia utapata alama F ..nawaza huyu jamaa akipata nafasi labda ya dakika 10 na elon musk ataongea nini
 
Vilaza kama hawa ndo wanatuchelewa kuanza utaratibu wakuajili mawaziri kwasifa elekezi
 
Back
Top Bottom