Nape: Rais Samia alinikataza kujibizana na Watu Mitandaoni

Huu utabiri wangu acha tu nisiutoe Maana walia kulamba Miguu na Teuzi wataanza kulalama hapa
 
Hata sisi NGEDERE huku Porini nape huwa anatuboa Sana hata Miruzi yetu NGEDERE anatuonea wivu huku Porini
 
Nape hakujua kama yy ni waziri na hana sababu ya kujibizana na watu mitandaoni na kama Rais ndiye aliyemkataza basi Rais kwa katazo hilo alikuwa anamwambia Nape huna Akili.Waziri gani poyoyo unabishana na watu mitandaoni bila kushtuka na bado ni waziri.Nchi inalewa wapumbavu tu.yaan mpaka akwambie ww huna Akili kabisa ya kuwaza.
 
Hivi inawezekana vioi watu kama hawa kupata nafasi ya kuwa kiongozi mkubwa kiasi hiki hali upeo wake hata mwanafunzi alie ngazi ya elimu ya msingi anautoa kasoro?
 
Mjukuu wa Nyerere? Utakuwa huna taarifa sahishi kuhusu Yerico Nyerere.Hata hivyo kama mwanachama wa CDM ni haki yake kikatiba kugombea nafasi yoyote ndani ya Chama chake, sisi tusiyo na Vyama tutaendelea kuwa wapenzi watazamaji.
 
Kuna tweet yake fulani alimwambia mwananchi "acha usng😂😂" aseme ukweli hii labda ndio ilifanya Rais akamkanya.
 
Kuna Waziri mwingine wa familia ile isiyoridhika na mipesa....kila kitu wanataka wao.....huyo mtoto nae simuoni nadhani nae ameshauriwa kuacha mihemko ya dini na vita Israel na matusi kwa wafuasi imani tofauti.....mitusi yake...mara shiga mara uharo....mitusi tu kutoka waziri ambae.....abaempa kibri siku skilala na yeye sihasa ....ndio mwisho wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…