Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,668
- 3,751
Kimsingi hana akiliNape alikuwa mtukanaji sana huku mitandaoni
Umeona! Yaani Waziri anakumbushwa kutumia busara.Basi Rais ana Kazi Kubwa ya kuwaongoza Mawaziri 🐼
Hivi kuna siku huyu Waziri keshawahi simama sehemu akaelezea Mipango ya Tanzania kwenda na Kasi ya teknolojia, akatoa nondo namna tumepiga hatua na mauvumbuzi ya uhakika hivi, maana simuelewi, yeye kila siku ni story tu ambazo sidhani kama zinatusaidia.
Yaani kwa akili zako NAPE ulifikiri kujibizana kungekusaidia nini!?WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan alimsihi kuacha kujibizana na watu mitandaoni na badala yake asimamie falsafa ya R4.
Nape ameyasema hayo leo Machi 27, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, katika kilele cha kurasa 365 za Mama zikiangazia mafanikio ya Rais Samia tangu alipoingia madarakani Machi 19, 2021.
Nape amesema mara kadhaa Rais Samia huchafuliwa lakini amekuwa kimya huku asisitiza yasichukuliwe maamuzi yatayowadhuru raia wengine.
“Kuna wakati fulani, kuna jamaa fulani walimshambulia sana Rais na familia yake kwenye mitandano, huku ndani wakaanza kusema sasa waziri tunafanyaje? Mjadala ukawa mkubwa tuwachukulie hatua, tena kali! Tukasema kwa hawa au kwa jukwaa lote lililotumika?”
“Lakini wakati majadiliano yakiendelea, habari zilivuja na kumfikia Rais Samia ambaye aliamua kuniita na kuniambia nataka utatue jambo hili kwa busara,” amesema Nape na kuongeza
“Mama akaniita bana, akaniambia Nape…nimesikia mnajadiliana, lakini naomba nikukumbushe, nilitangaza 4R, mojawapo ni kuvumiliana, akasema hata kama mnataka kufanya lolote, hakikisheni hamuingilii uhuru wa watu kujieleza,” amesema
R4 za Rais Samia ni maridhiano, ustahimilivu, mageuzi na kujenga taifa.
View attachment 2946314
Taasisi zipo,sema watu wake wengi siyo imara!!Yooooo nimesikiliza hotuba mbili za PM,wakati wa kuipokea ndege na Clouds tv ,jina la Dr.Samia amelitaja zaidi ya mara 20,je it's necessary?mtu anatukuzwa kama semi God!nchi inahitaji TAASISI IMARA na sio strong state person
Na, huyu jamaa ni kubwa, jinga tu, yaani huna busara ya, kujua kujibishanq na watu iwe hadharani au mitandaoni ni ujinga,WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan alimsihi kuacha kujibizana na watu mitandaoni na badala yake asimamie falsafa ya R4.
Nape ameyasema hayo leo Machi 27, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, katika kilele cha kurasa 365 za Mama zikiangazia mafanikio ya Rais Samia tangu alipoingia madarakani Machi 19, 2021.
Nape amesema mara kadhaa Rais Samia huchafuliwa lakini amekuwa kimya huku asisitiza yasichukuliwe maamuzi yatayowadhuru raia wengine.
“Kuna wakati fulani, kuna jamaa fulani walimshambulia sana Rais na familia yake kwenye mitandano, huku ndani wakaanza kusema sasa waziri tunafanyaje? Mjadala ukawa mkubwa tuwachukulie hatua, tena kali! Tukasema kwa hawa au kwa jukwaa lote lililotumika?”
“Lakini wakati majadiliano yakiendelea, habari zilivuja na kumfikia Rais Samia ambaye aliamua kuniita na kuniambia nataka utatue jambo hili kwa busara,” amesema Nape na kuongeza
“Mama akaniita bana, akaniambia Nape…nimesikia mnajadiliana, lakini naomba nikukumbushe, nilitangaza 4R, mojawapo ni kuvumiliana, akasema hata kama mnataka kufanya lolote, hakikisheni hamuingilii uhuru wa watu kujieleza,” amesema
R4 za Rais Samia ni maridhiano, ustahimilivu, mageuzi na kujenga taifa.
View attachment 2946314
Kweli kabisa Chief, hata zoezi lilipoishia sijui....Unaenda mbali sana Mkuu, zoezi la anwani, waliita post code liliishia wapi?
Huyu Nape Nnauye ana wenge sanaWAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan alimsihi kuacha kujibizana na watu mitandaoni na badala yake asimamie falsafa ya R4.
Nape ameyasema hayo leo Machi 27, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, katika kilele cha kurasa 365 za Mama zikiangazia mafanikio ya Rais Samia tangu alipoingia madarakani Machi 19, 2021.
Nape amesema mara kadhaa Rais Samia huchafuliwa lakini amekuwa kimya huku asisitiza yasichukuliwe maamuzi yatayowadhuru raia wengine.
“Kuna wakati fulani, kuna jamaa fulani walimshambulia sana Rais na familia yake kwenye mitandano, huku ndani wakaanza kusema sasa waziri tunafanyaje? Mjadala ukawa mkubwa tuwachukulie hatua, tena kali! Tukasema kwa hawa au kwa jukwaa lote lililotumika?”
“Lakini wakati majadiliano yakiendelea, habari zilivuja na kumfikia Rais Samia ambaye aliamua kuniita na kuniambia nataka utatue jambo hili kwa busara,” amesema Nape na kuongeza
“Mama akaniita bana, akaniambia Nape…nimesikia mnajadiliana, lakini naomba nikukumbushe, nilitangaza 4R, mojawapo ni kuvumiliana, akasema hata kama mnataka kufanya lolote, hakikisheni hamuingilii uhuru wa watu kujieleza,” amesema
R4 za Rais Samia ni maridhiano, ustahimilivu, mageuzi na kujenga taifa.
View attachment 2946314
KabisaVipi tuanze kumshukuru "mama" kwa hili?
Hana akili za kunyamaza. Kila kitu lazima apayuke.Kuna haja gani ya kusema?
HahahahahaNape hakujua kama yy ni waziri na hana sababu ya kujibizana na watu mitandaoni na kama Rais ndiye aliyemkataza basi Rais kwa katazo hilo alikuwa anamwambia Nape huna Akili.Waziri gani poyoyo unabishana na watu mitandaoni bila kushtuka na bado ni waziri.Nchi inalewa wapumbavu tu.yaan mpaka akwambie ww huna Akili kabisa ya kuwaza.