loading...................................Heshima Kwenu wakuu,
Leo nmeamua kuwaletea update kutoka kwenye mkutano wa aliyekuwa Waziri wa Michezo wa awamu ya tano Nape Nnauye.
Karibuni.
=======
UPDATES;
=======
13:08hrs: Nipo hapa Protea hotel, Mheshimiwa Nape bado hajafika. Ntamsubiri hapa hapa.
View attachment 485512
RTunafuatilia kwa makini.
Sitashangaa Magifuli akamtuma Makonda akavamie hiyo press conference akafanya fujo.
Nimesikia piakuna habari kuwa ametekwa.. kuna ukweli wowote!
Ukweli gani???
Mali ya mungu anamfanyia kazi mungu wake.Nimesikia pia
Kuna Uzi humu unadai hivyo. Umetaja hata namba ya Gari aliyopandishwa!kuna habari kuwa ametekwa.. kuna ukweli wowote!
Unafiki ni kirusi nimeaminiNape ndio anajichimbia kaburi lake la siasa