Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Naona kitambaa cheupe mezani. Kusijekuwa na mabendera ya chadema kwa nyuma.
 
Acha ww mbona tindu lisu almtaja lowasa kuwa ni fisadi papa, siasa mchezo mchafu, akihamia chadema lazima apokewe kwa shangwe tuu ña ataitwa kamanda kama kawa
 
Mara Protea mara leaders, tumuamini yupi? Hii nayo ni kali!!!!!
 
Kipindi bado hamjaanza? Mambo kama haya yanahitaji intelligence ya hali ya juu. Sijui Nape analijua hilo? Poor him. Laiti sote tungejua kuna siku mungu atatuondolea roho na mwili tusingepigana na mwili.
Hiyo press haipo wewe,subiri utaona,Nape hatakuja zitakuja habari mbaya badae
 
Kuna uzi umeanzishwa kuwa NAPE katekwa lakini umeondolewa haraka sana.
Hebu mtujuze
Tusubiri mpaka saa nane, muda huo ndio anategemewa kuwa hapa pretea hotel. Stay tuned
 
Ningelikuwa Mimi ningelikaa kimya na kurudi jimboni kwangu kushirikiana na wananchi katika kutatua kero.
Katika vitu ambavyo mkuu hapendi ni pamoja na hizi press conference.
Nina hakika press conference hii itamuharibia tashwira aliyoitengeneza ndani ya mfumo.
Kama ni kushukuru ni vyema angelienda kushukuru kwa wapiga kura wake jimboni au kupitia kwa Katibu wa Chama chake.
 
He...uMeamia lini CCM! ?
=====
Mfano wako si halisi. Baba wa Taifa hakuwahi kujitoa CCM.
Maelezo yalikulenga wewe ambaye ulikuwa unamkebehi Nape kipindi fulani lakini leo unaibuka na hoja ya namna ile.
Lugha za maudhi ulizotumia inaonyesha kweli mnapengo katika harakati za kuboresha siasa zenu. Jitafakari.
 


Hivi ikitokea asije, atakurudishia Nauli yako pmj na fidia ya muda uliopoteza?
 
Wapi nimeandika aliwahi kujitoa CCM? Acha kujitoa ufahamu. Lugha zangu za maudhi unaziona sana lakini za dikteta uchwara ambazo sasa zinakemewa na Watanzania walio wengi hata ndani ya chama chenu huzioni! Tia akilini kichwani acha kujitoa ufahamu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…