Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Bado sijamsamehe nape, nikikumbuka alivyoshiriki kukichonga kile kinyago!
 
De javu
 
NAPE TUMIA KA-BUSARA KOTE UNAKOMILIKI, HII NI SERIKALI, ULITEULIWA HIVYO POVU LISIKUTOKE KUPITA KIASI. AKINA NCHIMBI WALISALITI LAKINI WALIGUNDUA MAKOSA YAO.
 
Manataka kumjua mmliki wake ili mumtangaze kuwa siyo RAIA?

Kwa kuwa hizo ndizo figisu figisu pekee mlizobaki nazo nyinyi Chama cha Maluweluwe.......
Waungwana walishanijuza kitamboo tena kistaraabu, pole, tulia tu!
 
Kwenye hili la Clouds ukiangalia kwa makini member wa kamati ya Nape ni kuwa Nape alikuwa na maslahi upande fulani......

Ishu ya uvamizi kama ile huwezi kuunda tume isiyokuwa na mwana usalama hata mmoja....na kujaza wana habari wote.....
Sasa mkuu kama wanausalama wenyewe hao hao ndio waliovamiwa, alafu uwaite hao hao ndio wachunguze unafikiri hapa majibu yangetoka vipi.?
Cha muhimu hapa imeshajulikana "walivamia" tena kwa mitutu ya bunduki, maana hata ushahidi ulikiwepo live bila chenga. Au ulipenda kusika majibu ya kwamba walienda kutembelea clouds?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
waandisha buana.
 

Kimevamia kituo cha habari....alafu kwenye kamati ya uchunguzi ya tukio hilo unaweka wana habari tupu.....ambao miongoni mwao wamelaani hilo tukio.....sasa unategemea kupata taarifa gani za kamati...au mshukiwa atatoaje ushirikiano kwenye kamati ambayo ni dhahiri imejengwa kumkandamiza hata kama ni mshukiwa....!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…