Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Karibu Godbless Lema mpya. Nimekunukuu 'Hakuna dhambi kubwa duniani kama 'Uwoga' mwisho wa kunukuu.
 
Najuta kumpa Magufuli kura yangu,tena najuta kweli kweli.Hivi Nape yule aliyepambana na upinzani mpaka kuiweka ccm sawa leo hii ndiye anayedhalilishwa hivi???tena sababu ni Makonda????

Najuta walahi.Mungu nisamehe mie mkosefu,katu sitorudia kosa.
hahahahahh pole sana
 
Aache wamalizane alafu wajee upinzani ndio alafu tuwaue kwa kura....baaada ya tume uru.
 
Nenda mchinga ukapumzike waachie li government lao wasio penda ukweli wala kukosolewa ndio maana dr. Kafumu katangulia.
 
Nchi ni zaidi ya hao watatu. Na nakubaliana na wewe cause niliyosema (kufunga, kusali na kuomba) sikumaanisha yafanyike kwa ajili ya hao watatu bali ni kwa ajili ya nchi yetu, Tanzania.
 
Hilo ndiyo la msingi. Nitamwona angalau wa maana(siyo shujaa) kama atajivua uanachama na kuiacha Ccm. Lakini kubaki humo ni upuuzi tuu
 
Protea hii hii ya Mbowe na simu ilipigwa kutoka CMG. Ndio maana clouds walishinda hata kutangaza kuwa Nape ametumbuliwa.
 
Aache wamalizane alafu wajee upinzani ndio alafu tuwaue kwa kura....baaada ya tume uru.
Bado unaamini ktk kura?? Rais hapatikani kwa kura nchi hii, ongeeni na nape vzr awape ujuzi
 
yaani haya mambo naona maluwe luwe, mhudumu lete nyingine ya motooo
 
Pole sana Nape pamoja na kutoa pongezi kwa aliyekuteua ikiwa ni pamoja na kazi nzuri ulioifanya ya kuwatetea wanyonge wanaooneaa,kwa pande mwingine unatakiwa ujutie maamuzi yasiyosahihi muliyoyafanya kwa kushirikiana na wenzako.

Kwa kukataa kumpitisha mtu ambaye alikuwa chaguo la wananchi na kumpitisha mtu ambaye alikuwa hajaandaliwa kushika wadhifa alionao kwa ajili ya kulinda chama chenu.

Pamoja na kuzunguka nchi nzima mkiwalazimisha watu wamchague mtu ambaye hakuwa chaguo lao,lakini juhudi zako hakuweza kuzithamini na kukufanyia hiki alichokufanyia.

Pamoja na machungu yaliyokufika pia unatakiwa ujue kuwa kikombe ulishiriki kukiandaa mwenyewe na hunabudi kukinywea.
 
Nchi ni zaidi ya hao watatu. Na nakubaliana na wewe cause niliyosema (kufunga, kusali na kuomba) sikumaanisha yafanyike kwa ajili ya hao watatu bali ni kwa ajili ya nchi yetu, Tanzania.
MERCIFUL, ya nchi hii yanachosha! sasa ukiangalia viongozi wetu wa dini wenyewe hawajatulia ni shida tu kwa kweli, wanayakoroga wayanywe
 
CCM ni chama cha wanachama siyo chama cha Mwanachama,
=====
hivi mwezi 18 alikuwa porini kweli, yaani hata kagoma mjini ni porini yaani hata jimboni la mtama ni porini!?

Unajua yeye na Kinana ndio walioifufua ccm iliyokua inajifia? Walizunguka Tz nzima. Wakaja na list ya mawaziri mizigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…